Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Mama yetu ni kheri apumzike tu 2025Hata anavyoongea inaonesha dhahiri viatu vya uraisi vinampwaya
Atampelekesha Samia hadi naogopa𝗧𝘂𝗻𝗱𝘂 𝗹𝗶𝘀𝘀𝘂 𝗶𝘀 𝗯𝗮𝗰𝗸 2022[emoji16]
Mimi naogopa zaidi ujio wa Tundu kwa sababu sioni CCM ya kumkabili.Naogopa kuota ndoto mbaya na za kutisha kama ya mleta mada
Mungu aepushe tu.Twende na TL 2025
Imeisha iyoTwende na TL 2025
Hakuna Raisi apoHata anavyoongea inaonesha dhahiri viatu vya uraisi vinampwaya
Rais wa MSEREREKO!Mama yetu ni kheri apumzike tu 2025
Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Alishindwa Magufuli Samia atamuweza?!Mama kasema"Ukinizingua tutakuzinguana"
Kabisa ili Lisu apambane na Job Ndugai maana tayari mmeanza kumuandaa jobHakuna kinyamkera cha kumtisha Rais Samia. Lakini 2025 nae atupishe.