The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Sasa mbona wanasema mbaazi inazuia uchawi hii vipiMimi ni mwafrika....
Hiyo ni kweli mkuu wangu....
2.Mbaazi....
Unaweza kuwa nayo ila isiwe mingi....
Mbaazi unatumika vyema "kupiga" na pia TIBA mbio....hasa masuala ya kichawi na mapepo....muhimu kuzijua tu njia zake.....
Ila "its true" WABOBEVU WA USIKU wanautumia mno....
Shukran mkuu wangu !
Naona haujanielewa.....iko miti mingi itokayo mabara mengine....miashoki iko mingi mashariki ya kati na mashariki ya mbali....
Mkuu wangu hiyo "sayansi" ina mambo mengi.......Sasa mbona wanasema mbaazi inazuia uchawi hii vipi
Ha ha ha haMi nilijua mizizi inaharibu nyumba kumbe upuuzi.
Kwa hii post wachawi na wanga watakushambulia sana, na hivi serikali inawalinda kwa kusema hakuna uchawi, basi ya na operate freely huku waganga wanaowadhibiti wakihangaishwa na serikaliThis is Africa and its traditions
Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako
1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu
Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio
Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.
Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako
View attachment 3245114
Ha ha ha ha haKwa hii post wachawi na wanga watakushambulia sana, na hivi serikali inawalinda kwa kusema hakuna uchawi, basi ya na operate freely huku waganga wanaowadhibiti wakihangaishwa na serikali
Nenda nyumba yoyote yenye mti unaoitwa MPANGA UZAZI kama utakuta Mume yu hai, basi mti huo umepandwa janaUpuuzi mtupu
Ha ha ha ha haKatafute hela wewe hakuna mti mbaya. Ni umasikini tu unakusumbua.
Ingekuwa ni amri yangu watu masikini na wajingawajinga wote ningeamrisha wauliwe😀😀😀Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.
Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..
Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
Ndo ukoje huo Mti?Mpanga uzazi huwa una penda kutawala katika eneo, misiba ya wanaume haiishi.
siku hizi kuna vile vimiembe vidogo vya kisasa miti yake mifupi...sasa sijui anaongelea ile Local miembe mikubwa au?Miembe teeena
......ule wa vivuli na una matawi ya ngazingazi ....Ndo ukoje huo Mti?
Mimi nikijenga nyumbani kwangu hapatakosa miti na nikikuta jirani kaugusa tutabadiliahana majengo ya serikali 😃Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.
Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..
Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
Ule wenye kuchanua? Unakuwa kivuli kikubwa?......ule wa vivuli na una matawi ya ngazingazi ....