The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Bank karibu zote sasa zinatoa fixed deposit rate ya zaidi ya 10% kwa mwaka.Aya tutajie hiyo benki inayokupa fixed deposit ya 10%....
Na pili hiyo ndiyo lowest ambayo imepaata kutolewa na Voda within 5 years....
Lakini hapohapo huo mtaji 200M ungekuwa umeshaongezeka thamani kwa zaidi ya coz hisa za Voda zimekuwa zikiongezeka thamani...
Ila hela haikui in Value ...Nenda kasome about stocks halafu ndiyo uje kwenye mjadala mkuu...Bank karibu zote sasa zinatoa fixed deposit rate ya zaidi ya 10% kwa mwaka.
Naweza kukutajia bank chache kwa kukusaidia, DTB, Azania, TCB, DCB nk.
Well...unaweza kupata data zao kupitia dalali wako wa soko la hisa....Kuna benki ya waalimu MCB -Mwalimu Commercial Bank.
Hii nadhani ndio inayoongoza kwa utapeli kwenye soko la hisa....
Hiza zake hazinunuliki wala kuuzika, mikutano hawafanyi na haijulikani kama wanatengenneza faida au hasara. π²
Kwa taarifa yako huna unachokijua kuhusu hayo mambo ambacho sikijui. So huna unachoweza kunishauri.Ila hela haikui in Value ...Nenda kasome about stocks halafu ndiyo uje kwenye mjadala mkuu...
Kuna video youtube,kuna online courses....
Kanakwamba unafananisha mfumo wa benki na hisa ππππKwa taarifa yako huna unachokijua kuhusu hayo mambo ambacho sikijui. So huna unachoweza kunishauri.
NICOL ni kampuni ya uwekezaji,ilianzishwa na watanzania flani smart miaka takriban 20 iliyopita....greater than hebu tuambie hali ya hisa za NICOL wana hali gani huko?
NICOL ni shida. Gawio mmepata lini kwa mara ya mwisho?NICOL ni kampuni ya uwekezaji,ilianzishwa na watanzania flani smart miaka takriban 20 iliyopita....
Mimi kwa mara ya kwanza nilinunua hisa kwao mwaka juzi,ambapo hisa ilikuwa ni tsh 450 lakini mpaka kufika sasa hisa zao zimeongezeka thamani mpaka kufika tsh 750.
- ni wamiliki hisa katika benki ya CRDB,NMB
- wamiliki hisa TWIGA CEMENT,TANGA CEMENT,TBL na DSE
- Tangia 2021 mpaka sasa wamekuwa wakitengeneza faida ya zaidi ya billion 3 kwa mwaka.
- lakini pia inamiliki kampuni ya Nyama ya Taifa na kampuni ya maendeleo ya uvuvi
nimepitia taarifa zao za fedha za tangia mwaka 2019 mhadi 2022,ni mwaka 2019 tu ndipo ambapo hawakutoa gawio...NICOL ni shida. Gawio mmepata lini kwa mara ya mwisho?
Hisa zao ni gharama kuliko za makampuni yote DSE,,,TCC yenyewe vipi?
Nimekusaidia kukujulisha kwamba hayo mambo mimi nayajua kuliko unavyoyajua wewe, huna ambacho unakijua mimi sikijui unaanza kuleta mipasho tena. Tafta watu wengine wa kuwapa mipasho sio mimi.Kanakwamba unafananisha mfumo wa benki na hisa ππππ
Ukiona elimu gharama basi jaribu ujinga....sasa wewe unaukumbutia....
Anyway shauri yako,its your life.
Gawio Lao liko vipi?Hisa zao ni gharama kuliko za makampuni yote DSE,,,
kila Hisa 1 ina gharama ya 17,000tsh ila kumbuka hisa zinauzwa kuanzia 10 ambapo ni 170,000tsh
ila ndiyo kampuni pekee ambalo halikuteteleka kwenye kipindi cha COVID,mana walitoa gawio hadi kipindi hiko,,,,wavuta sigara wana upendo sana.
Kwa mwaka 2023,wameridhia kutoa gawio la tsh 500 kwa kila hisaGawio Lao liko vipi?
ukijua kitu haina ya kusema unajua ,,,knowledge haijichi.....Nimekusaidia kukujulisha kwamba hayo mambo mimi nayajua kuliko unavyoyajua wewe, huna ambacho unakijua mimi sikijui unaanza kuleta mipasho tena. Tafta watu wengine wa kuwapa mipasho sio mimi.
TCC wametangaza gawio la shillingi 500 kwa mwaka 2023Milioni 200 kuzalisha milioni 4 kwa mwaka ni hasara na upotevu wa muda.
Mtu mwenye mtaji wa milioni 200 anatakiwa kuipata faida ya milioni 4 ndani ya wiki 1 tu.
Dah,mi niliudhuria kikao kikuu cha mwaka jana,Bodi yao haina u-serious kabisa...DCB nahisi inaweza kufufuka kuanzia mwakani! Ni expectations zangu tu lakini! π