Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

ukijua kitu haina ya kusema unajua ,,,knowledge haijichi.....
Kanakwamba unaona mfumo wa Fixed deposit ya Benki ni sawa na Hisa,basi dhahiri hauna unachojua,,,,
yaani Saving account uipambanishe na Investment scheme 😀😀
Ushauri wangu wa mwisho, watafte mataahira wenzio uwafundishe, sio mimi. Huna unachokijua kuhusu uwekezaji ambacho mimi sikijui. Sina kitu nachoweza kujifunza kutoka kwako.

Kukuonyesha huna unachokijua, hujui kuna tofauti kubwa kati ya fixed deposit account na saving account na mimi hakuna mahala popote niliongelea saving account ila kwa kua wewe ni hakuna kitu unadhani vinafanana. Hii ni ya mwisho nakujibu. Tafta wenye uelewa wa level yako mjadiliane kuhusu uwekezaji wa hisa DSE, mimi sio level yako, nimekutangulia mbali.
 
wewe ndiyo haujui ndiyo maana ukafananisha....
usikumbatie ujinga,Jifunze,,,mbona kuna online course kibao..... 😀 😀 😀 😀
 
Milioni 200 kuzalisha milioni 4 kwa mwaka ni hasara na upotevu wa muda.
Mtu mwenye mtaji wa milioni 200 anatakiwa kuipata faida ya milioni 4 ndani ya wiki 1 tu.
Hisa is a long term game labda kama ni speculator (kutafuta faida ya haraka), faida kubwa ya hisa sio gawio tuu, faida kubwa ni kupanda kwa thamani ya hisa na inachukua miaka mingi, mfano hisa za Microsoft miaka 10 iliyopita zilikuwa dollar kama 25 lakini leo bei ni zaidi ya dollar 400, au Hisa za NVIDIA miaka 10 iliyopita zilikuwa cent 30 leo ni zaidi ya dollar 100 kwa hisa, piga hesabu utaelewa vizuri sina haja ya maelezo marefu, hata TBL ziliwahi kuwa shilling 20 ila leo ni ngapi?
 
Ikitokea kampuni imefirisika, ni nini wajibu wa kampuni kwa watu walionunua hisa kwao?
 
Ni biashara nzuri sana hii, ila kwa maelezo yako inamaana mnunuaji wa hisa anatakiwa kuwa na akili ya ziada kuchunguza future ya kampuni husika.

Naomba kujua, ni kwa namna gani kampuni husika itawajibika kwa mnunuaji wa hisa wakati ambapo itafirisika.?
 
Kisheria kampuni ikifirisika na kama value yeyote imebaki inagawanywa kwa wahusika, wa kwanza kulipwa ni wanaodai kampuni Kama mabenki au supplier na wa mwisho ni wenye hisa, na anayeamua ni mahakama lakini kuna maelezo zaidi niliyokupa, pitia sheria za makampuni Tanzania zipo uelewe zaidi
 
Milioni 200 kuzalisha milioni 4 kwa mwaka ni hasara na upotevu wa muda.
Mtu mwenye mtaji wa milioni 200 anatakiwa kuipata faida ya milioni 4 ndani ya wiki 1 tu.
Hata hiyo 4m hakuna uhakika was kuipata.Njoo tufungue duka La vyakula vya Mifugo ma madawa kwa 10m tupige pesa
 
Na vipi ikitokea hiyo kampuni iliyofirisika wamewalipa suppliers na mabenki wanaowadai halafu baada ya hapo values/assets zote za kampuni zikawa zimeisha ni nini hatima ya wana hisa baada ya hapo?
 
VODACOM umeiacha wapi?
Voda toka 2015 hakuna gawio, kila mwaka wanawekeza faida huko ?South Afrika, hisa zao haziuziki, ni hasara bora hata JATU.
 
Na vipi ikitokea hiyo kampuni iliyofirisika wamewalipa suppliers na mabenki wanaowadai halafu baada ya hapo values/assets zote za kampuni zikawa zimeisha ni nini hatima ya wana hisa baada ya hapo?
ndio umepoteza kila kitu na unakuwa mwisho wa safari, kumbuka hakuna investment yenye guarantee ya faida au hasara
 
Kwahiyo kampuni ya NICOL ndio nzuri kwa haya maelezo yako
 
VODACOM umeiacha wapi?
Voda toka 2015 hakuna gawio, kila mwaka wanawekeza faida huko ?South Afrika, hisa zao haziuziki, ni hasara bora hata JATU.
Actually,kabla ya kulaumu,ungejikita kujua why haikuwa inatoa gawio...
i)Vodacom ndiyo kwanza ilikuwa imejiorodhesha kwenye soko la hisa,gharama za kuwa kwenye soko la hisa ni kubwa....
ii)2019/2020 covid ilisumbua kila kampuni,machache yalipona
iii) 2021 ilipeleka faida kwenye shughuli za kijamii

Usiwekeze kwenye kampuni kwa kuangalia gawio tu.

Lakini kasome taarifa za fedha mwaka juzi na jana ,,,Vodacom wametoa gawio.
 
Ndiyo kusema Mwalimu Commercial Bank (MCB) maarufu kwa jina la Benki ya Walimu, umeisahau kwa bahati mbaya! Au tayari na yenyewe ilishajifia kitambo tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…