Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Wachina hamna akili mam.ae zenu mtatuuuua.

Corona mliyoleta haijaisha, mnaleta janga jingine tena🙆🙆🙆
 
Mkuu, wewe umechukua tahadhari gani?
 
eeeh kuna uzi humu uli letwa baada ya chombo kurushwa hewani vijamaa vikapondaaa kuonesha kua wachina ndio wenye best technology ilihali hayo mambo watu wame anza kitambo kupeleka vyombo uko leo kweny huu uzi siwaoni na zile comment zao

 
Mpaka hivi sasa haijulikani itaangukia wapi kwakuwa haionekani na hamna mawasiliano ya kuiongoza iangukie baharini.
Wachina waliporusha roketi kuelekea anga za mbali mwaka jana mwezi Mei mabaki yaliripotiwa kuokotwa Ivory Coast kwenye makazi ya watu vijijini. Hii ni mara nyingine.

Teknolojia ya kisasa kabisa ya uundaji wa roketi inahusisha mifumo (control systems) kwa ajili ya udhibiti wa kasi na utuaji (landing). Mifumo hii huwekwa wakati roketi zinapokuwa viwandani katika mchakato wa uundwaji wake.

Ni jambo la kushangaza kwa nchi kama China kuonesha negligence kubwa kiasi hiki maana nchi karibu zote ambazo ni vinara katika teknolojia ya roketi zinafahamu mbinu hizi za utengenezwaji wa roketi.
 
Juzi tu kuna mtu alileta uzi wake kwa mbwe kubwa kwamba marekani anaona gere china kwenda anga za juu sasa gere yenyewe ndio mambo kama haya
 
Dunia inazidi kuwa mahali pa hatari sasa,huku Corona,huku Rocket haijulikani itaangukia wapi,maana kwa uzito wake huo wa Tani 21 hata ukijificha ndani lazima utadhurika tu...
 
Yaani haionekani hamna control nayo ila mnajua inateremka kwa kasi ngapi??[emoji15][emoji15]
Haya hio tahadhari unaichukuaje[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…