Chukueni hii bado mbichi....Refa keshachukua chake, ila kauliza mna Fowadi ya kufika mara 3 kwa Adui 1st Half tu ili niminye na kama hamna msinilaumu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa.

ANGALIZO

Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye umo sana Akilini mwangu uingie 18 zangu Uyakoge.
 
Nahisi Itakuwa ni mechi ya Coast vs Yanga

Maana tayari kimeshaeleweka huku
 
Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa.

ANGALIZO

Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye umo sana Akilini mwangu uingie 18 zangu Uyakoge.
Hata chumba cha VAR nako wamekubaliana hivyohivyo? Au VAR haitakuwepo?
 
Back
Top Bottom