GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Yanga ni timu ya kuuliza kuhusu fowadi?Nahisi Itakuwa ni mechi ya Coast vs Yanga
Maana tayari kimeshaeleweka huku
VAR ya Africa inafanya kazi kwa maelekezo.Aruhusu offside na kuna VAR,? We popoma hamnazo kweli.
Hata chumba cha VAR nako wamekubaliana hivyohivyo? Au VAR haitakuwepo?Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa.
ANGALIZO
Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye umo sana Akilini mwangu uingie 18 zangu Uyakoge.
Mshamba huo hakuona kule MisriVAR ya Africa inafanya kazi kwa maelekezo.