GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unajiskia raha sana kudhalilisha wanawake inavyoonekana, hata mama yako namin unamdharau sanaHuyu kocha amepoteza sifa ya kufundisha timu ambayo hushiriki kombe la wanaume.Anatakiwa afukuzwe ili akafundishe timu ambayo inashiriki kombe la wanawake(looser cup)
Kombe hili ambao hamkuingia makundi kwa miaka 25! 😂Huyu kocha amepoteza sifa ya kufundisha timu ambayo hushiriki kombe la wanaume.Anatakiwa afukuzwe ili akafundishe timu ambayo inashiriki kombe la wanawake(looser cup)
Sidhalilishi.Muda mwingine utani kidogoUnajiskia raha sana kudhalilisha wanawake inavyoonekana, hata mama yako namin unamdharau sana
Mmmmm sio kweliii..Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.