Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
Taarifa njema kama.hii imatia faraja sana kwa Taifa letu.

Nani asiyetaka CCM isife?
 
Huyu atakuwa ni mkombozi wa taifa letu. Adui namba moja wa Taifa 🇹🇿 ni CCM
 
Acha tu CCM Ife
 
Policcm wakisikia Mwabukusi anaanda maandamano wanaizingira nyumba yake hata kabla hajatoks wanasema wana taarifa za kiintelijensia maandamano yatakuwa na uvunjifu wa amani.

Ila huyu wameshindwa kumjua licha ya wewe kusema ameonekana kwenye coup kadhaa.

Kuhusu Magufuli huyo alifariki kwa maradhi aliyokuwa nayo na bado akawa anajiweka kwenye risk wakati kuna janga linaloathiri watu wenye matatizo kama yake.
 
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.

Na wewe huwa unaenda ubalozi wa Marekani kufanya nini kila siku hadi mnakutana benchi ameketi kila siku? Ama kweli mwizi hushikwa na mwizi mwenzie!
 
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
Gaza umekusudia kuwachunguza Hamas? Dah yote afanye lkn asiwacheze Hamas jamaa noma
 
Huu kuandika Baada ya kulewa
 
Huyu atakuwa na nia nzuri ya kuikomboa nchi yetu kutoka ktk makucha ya mafisadi, wezi wa kura na mali za umma.
 
hiyo mission inaweza kukamilika Yes. hiyo siwezi bisha hata kidogo. Nakubali kabisaa.

Lakini inaweza kuchukua zaidi ya miaka kati ya 70 au 120 ijayo mission kutimia kwa namna hali ilivyo....

Mark my words...
Weka akiba ya maneno ili siku moja husije kukosa cha kuongea. Wakati unakuja, hao mnaowategemea ktk wizi wa kura na kupoka madaraka kwa nguvu wataichoka CCM kama ilivyochokwa na wananchi.
 
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
Waarabu wa Pemba wanajuwana kwa vilemba.
 
Bollen, kwanini usingizie mtu yupo na Uraia wa USA na unawaacha akina Sabaya na Mtoto pendwa-last born makonda aliyeevuruga uongozi wa CCM na sasa focus ni kumuangusha kigogo mwengine mpaka /sukuma Gang yote irudi?
 
Back
Top Bottom