Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Hata mimi nashindwa kuelewa kitu hapaNashindwa kuunganisha kitu hapa; kama unaamini Membe ndie Bollen wakati kiuhalisia Membe is nomore, na unaposema tena Bollen anajua alipo Magufuli...
Wakati nakumbuka Membe na Magufuli walikuwa paka na panya, sasa huyu Bollen iweje acheze pande zote, ina maana huyu Bollen anawaondoa wote?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nimesoma pia post zingine hizi hapa chini lakini sijaelea kitu
#1, #178, #1