Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Au ndio yule jamaa maarufu kwenye mtandao wa X siku hizi anajiita media yenye jina sawa na kipande Cha mti kilicho katwa halafu kikatelekezwa? Maanda yule jamaa anacheza na akili za watu kutumia social media mbali majina mbalimbali. Ana weza kuwa aka argue for PROPOSERS halafu kwenye media nyingine aka ARGUE FOR OPPOSERS kwa kutumia data A akajikataa Kwa B
 
Yuko wapi nimchangie hata buku ya bodaboda? Mtu akitaka kuiua CCM Huyo ni mzalendo halisi.
 
Huyo bollen ngeti apewe heshima zote kumbe ana nia njema na hili taifa
 
Weka akiba ya maneno ili siku moja husije kukosa cha kuongea. Wakati unakuja, hao mnaowategemea ktk wizi wa kura na kupoka madaraka kwa nguvu wataichoka CCM kama ilivyochokwa na wananchi.
Kwa mawazo haya
Naungana na mwenye hii comment hapo juu
Nadhani inaweza kuwa miaka mia mbili au zaidi na sio 70 au 120
Hebu tueleze namna ccm itajichoka yenyewe na kuamua kuwapatia wengine keki

Bila wananchi peke yake kuamua hakuna kitu
Ccm itadumu milele na nchi itakuwa ya hovyo sana hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sio CCM bali deep state kuiamini ccm bila kuipa upinzani ijifunze kutegemea wananchi pale wnapoikosa Dola !

Wakiwa wapinzani ccm watajifunza kusikia wananchi na malalamiko yao!!

Sasa Dola imewapa ccm mkataba was milele was kutawala nchi hii kwa kigezo eti wanaheshim katiba yenye mapungufu mengi!!

Ccm ilishashindwa zamani Santa kwenye sanduku la kura lakini ikashindishwa na Dola badala ya kupewa nafasi ya kujifunza kujipendekeza Kwa wananchi!!


Ni Mimi Moja kati ya wnaccm wenye akili timamu na mzalendo nimeandika nikichek gem ya mancity!!
 
Hii coment inanifanya nianze kuunganisha dots!!

Mango out rafiki wa ngetiina maana engineer wa mango out ni Dr Tibazonkiza na chongo!!?kituo kinachofata !!?
 
Acha kumsingizia Bollen. CCM itakatwa vipande vipande na Bashite.
Unadhani wale wote aliowapa maagizo Wana hamu nae ukianza na kijumbe?
Exit CCM enter CHADEMA.
Which chadema. You mean the same Chadema that I know? Who has ever have knowledge within chadema to handle over sovereignty over him?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…