Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
 
Na wewe kula mbn mitanzania mnawivu ya ajabu..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hujaelewa point yangu. Nje wanajifanya wapo na wananchi. Wakati maisha yao private ni ya juu huku wapiga kura wao hata kula mlo mmoja ni taabu. Waalimu miaka 5 hata kuongenzwa mia ya mshahara hakuna.
Mimi maisha yangu binafsi ni mazuri mno.
Hapa nawaongelea million 50 wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.
 
Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
 
Daah mimi najua chuma hua kinatafuna Chuma kumbe huku Bongo Chuma kinakula mahindi?hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji1544][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2958][emoji2958]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…