Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

umekosea heading y uzi! nazan ulikua una haraka ya kujua... umeliwa nn?
 
Kina wazee kibao wanashinda kutwa nzima wakicheza bao na kunywa gahawa mpaka jua linazama lakini nyumbani kwake mambo yanamuendea kama kawaida....wewe unadhani hizo hela wanazitoa wapi...???
AKILI KUMKICHWA...
 
Kuna wakati ni kweli mtu anataka kiasi hicho cha hela kwakuwa ni rahisi kutoa. Lakini kuna wakati anataka kufanya yake na hapo kuna mawili afanikishe nia yake au ashindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…