A,aleykum warahmatullah wabarakatu tukiwa tunaendelea na somo letu la kumfahan jini Chuma ulete na teyar tumeshaona dalili za jini huyo na baadhi ya kazi zake embu keo tuendelee kujua anapatikana vipi na mikataba wanayoingia na binadam
Namna jini huyu anavyopatikana kwanza ieleweke kwamba majini in viumbe kwamaana hiyo jini atengenezwi na binadam Bali kuna njia ambazo unaweza kuzitumia katika kuwaita majini na ukashirikiana nao katika shughuli zako (WAJUZI WANAJUA)
Sasa jini huyu Chuma ulete wanachokifanya washirikina huchukua mchanganyiko wa vitu 9 (KABUN)Mchanganyiko wa vitu hivyo huwa wanaita Kabun nitavitaja baadhi ya vitu hivyo vichache
1Chungu au chupa
2Ngozi ya mjusi aitwae sorokoto
3Kitambaa cheusi
Hivyo ni baadhi ya vitu kuvitaja vyote si vyema sababu watu wengine wanaweza kujaribu na ikaleta madhara baada ya kuchukua vitu hivyo vyote kisha uweka katika chungu hiko kitambaa cheusi hufungwa juu ya hiko chungu na kukipeleka makbara (makaburini) na huchagua kaburi mojawapo na kukifukia.Hapo hutegemea mchawi anamtaka Chuma ulete wa ukubwa gani hivyo chungu hiko hukaa kwa idadi ya masiku lakini huanza na siku 11, 21, 23 huchukua masiku ya witiri.Baada ya siku hizo kukamilika mchawi anakwenda kukifukua chungu hicho ifahamike Luna maneno hapa lazima ayaseme na hata katika kukifukia kuna maneno lazma ayaseme ni maneno ya kujikufurisha kwa ALLAH
Baada ya kukifukua chungu hicho hutokea paka mweusi baada ya hapo hutokea him a mtoto anayeweza kuongea au Mzee hapo jini anakuwa teyari ameshafika na mikataba inafanywa.Unaweza ukaona mzaha lakini ukweli wa mambo uko hivyo
MIKATABA
Mikataba ambayo wanaingia baina ya huyu jini na mchawi.Mwanadam ambae anafikia hatua hii maana yake teyari alikwishaingia au kujiunga uchawini zamani na kuna mikataba pia ambayo mtu anapojiunga na uchawi huingia katika hiyo mikataba nitaiekezea katika somo lijalo Leo tuangalie mikataba ya Chuma ulete na binadam
1Chuma ulete hutaka kujua ataishi wapi
Hapa mchawi huchagua sehem ya huyo jini atakapoishi kama Njia panda,Makaburini,Nyumbani au mashuleni
2 Chuma ulete hutaka kujua nini atakula
Sote tunajua chakula kikubwa cha majini ni damu na haijalishi ya kiumbe gani hivyo mchawi humwambia nitakuchinjia ng'ombe, Mbuzi,Njiwa,Kuku n.k
3Muda wa huyo jini kupata chakula chake
Hapa mchawi huchagua kila mwisho wa wiki, Mwezi,Mwaka na jini hula pale pale anapoishi kama ulichagua Nyumban basi iitakubid uchinje kutokana na ule muda mliokubaliana na hapa ndipo unaweza kumkuta mtu kila ifikapo masiku hayo lazma achinje ingawa si kila anayechinja bas yupo katika mkataba huo hapana wengine hupenda tu kuchinja na kutoa swadaka ya haki kabisa kuwapa mboga masikini n.k MNIELEWE JAMANI kuna wale ambao huchKIASI
jini huyo akakae njia panda hawa Mara nyingi huwaambia majini hao watakula kitakachomwagika hapo BASI JINI HUYO HUTENGENEZA AJALI
4 JINI HUYU CHUMA ULETE ANAPOMLETEA MCHAWI PESA SHARTI LAKE HUTAKA MCHAWI HUYO ATUMIE SIKU HIYO HIYO PESA HIZO TENA SI KWA KUJENGA AU KUSOMWSHEA BALI ANUNULIE UCHAWI
5 JINI HUYO UWA HAIBI PESA ZOTE BALI HUIBA KWA KUPUNGUZA KIASI NA KUACHA KIASI.
Inshaallah hiyo ni baadhi ya mikataba tutakuja kuangalia MIKATABA NA VIAPO ANAVOVIFANYA MCHAWI ANAPOTAKA KUINGIA KATIKA UCHAWI NA HII VIAPO UWA VINAENDA KWA VYEO
INSHAALLAH