House4Rent Chumba master kinapangishwa Kimara Baruti

House4Rent Chumba master kinapangishwa Kimara Baruti

Hapo ilikua haijaisha, hapo mtu katoka ukarabati umemalizika.. hiza master ziko vizuri.
Nilidhani ndo imeisha mkuu si unajua kibongo bongo nyumba ikiwa na ceiling board na floor na madirisha wavu ndo imeisha. Ila ikikamilika jaribu kutuma picha zingine kwa ku-update uzi huu mkuu
 
Mhhh hata Kama biashara NI matangazo si kwa Hali hiyo jamani UKWELI lazima tuambizane,

NI kweli kuwa Biashara NI matangazo Lakini pia Na UBORA wa kile kinachotangazwa kikazingatiwa.

Sasa hapa choo chenyewe kina plasta, Chumba cnenyewe kimegwa nusu nusu huwezi kujua ukubwa wa Chumba Bei iliyowekwa haiendani kabisa na UBORA wa Chumba chenyewe.

😂😂🏃🏃🏃
 
Aliyekuwa humo awali alikuwa kada wa Ccm.
54039ae7c3a998ada59af1d31ba3147c.jpg

Duh! Kama kada wa CCM ndiye aliishi humo kwanza basi nyumba hiyo haifai. Lazima kuliwekwa matunguli ya kuzindika teuzi.
 
Nilidhani ndo imeisha mkuu si unajua kibongo bongo nyumba ikiwa na ceiling board na floor na madirisha wavu ndo imeisha. Ila ikikamilika jaribu kutuma picha zingine kwa ku-update uzi huu mkuu

Kwanza hiki chumba hakikai, wala sina tatizo na hilo, najua ubora ha hiki chumba na sina mashaka nacho, na nimeshawahi kukaa kwenye hizo master, so kukiuza sina mashaka nacho, na coz sio dalali mwenyewe na kwakua sitangazi tu hapa endelea kusubiri mkuu
 
hiki chumba kila baada ya miezi kazaa unakipost tena.. yaelekea wapangaji hawakai kabisa muda mrefu.. je kuna tatizo gani hapo?

Ni kweli ila sio chumba hiko hiko ila ni nyumba moja, jaribu kufwatilia hasa picha ya kile kingine na hicho! Hiyo nyumba ina zaidi ya master 17, ni nyumba ya wapangaji wa master tu! so biashara kujirudia ni kawaida, kwa mwaka kuhama mpangaji ni kitu cha kawaida!

Pia kumbuka hizi ni master, nikuambie tu mtu anaeweza kutoa 100,000 kwa mwezi kwenye master hakika hawezi kua the same miaka miwili, lazima atahitaji kuendelea na atahitaji sehemu kubwa au hata chumba na sebule, so wengi unakuta akishamaliza mwaka anataka sehemu kubwa,

Na kama mpangaji anakaa humo zaidi ya miaka miwili huyo ni mbumbumbu na hana maendeleo
 
Sio hulipi, Huna pesa ya kulipa kodi 100,000, wewe kaishie kwenye vya 20k kwa mwezi
Vya ishirini utavipata wapi kaka au ndio vile wahuni wanachana nyavu wanazama ndichi 😂😂😂😂
 
safi sana mkuu
Aibu ya nini sasa hapo! Mwanaume haoni aibu kutafuta pesa labda kama una haiba za kike, yani kupiga rangi hapo ndio unasema aibu? na rangi yenyewe imeshapigwa

After all nimesema atakae vutiwa anichek, kama hujavutiwa pita kushoto... umbea wa inster huku haupo.. Hapa kazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vya ishirini utavipata wapi kaka au ndio vile wahuni wanachana nyavu wanazama ndichi 😂😂😂😂

Vipo mkuu maeneo ya jangwani pale, maeneo ya kigogo au kule yombo, pia hata mitaa mingine ila hali yake wanaijua wenyewe wa kitaa
 
Back
Top Bottom