House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Habari wadau.

Ninapangisha nyumba yangu chumba kimoja na sebule, kama unahitaji ni PM

- Kuna Umeme, hakuna maji ya DAWASCO ila hakuna shida ya maji na ni KARIBU na BARABARA.

- PM If interested

.......
........
Bado sijapata mtu serious, kama utakuwa serious, nitafute tu PM. Picha sijaweka kulingana na simu ninayotumia kutosupport. Kuna watu wanataka picha na kudai mimi tapeli kwa kuwa sijaweka picha, ningekuwa tapeli ningeweka tu picha yoyote kutoka mitandaoni.

- Wale wenye jazba zisizokuwa na msingi punguzeni au kama ukisoma andiko ukaona linakupa jazba kwanini usiachane nalo tu maana ni tangazo kuliko kubaki unashusha MATUSI kwenye KEYBOARD na JAZBA juu.
 
Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu , au ni handaki?

brain is the beautiful part of the body.
Hao wanatoka kwenye mbege na kitimoto, hapo ni vidole ndo vinaongea

- Mtu kama anahitaji, atanitafuta na kuja kujionea kabla ya makubaliano kama atahamia au la. Sifanyi makubaliano hapa ili mpangaji afungashe virago vyake na kuja hapa kutokana tu na makubaliano ya jukwaa hili
 
Acha upumbavu wewe....
Kwahiyo mtu aache shughuli zake Mwenge afunge safari aje aone nyumba Mombasa
Asiporidhika na quality ya nyumba???
Asipoweza kufika bei???
Kwanini usiweke range ya bei mtu akajua kwa bei hiyo ngoja nimtafute jamaa, ama kwa bei hiyo hata nisipoteze muda siiwezi...
Kubabake Fuga mbwa wanyee humo!!!!
 
Matusi ya nini, why usipite kimya kimya
 
Matusi ya nini, why usipite kimya kimya

We si unaleta ufala.
Unaambiwa kistaarabu na wadau weka basi bei na picha ya nyumba mtu afanye makadirio ya mfuko wake.
Wakati mwingine hata kama mtu hakua na mpango wa kukutafuta, akiona picha anaweza kushawishika akaingia line...
Unajifanya Big Bosssee.... Haya endelea na ubossseee
 
Wala sihitaji mpangaji anaeporomosha matusi kama Mange Kimambi mkuu, assume hujauona uzi huu
 
Weka picha na wewe basi khaa! Hata bei pia ubembelezwe kuweka loh!

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Hana nyumba anabanda LA kuku , Wenye nyumba huwa wanapiga picha nyumba zao ndani na nje na kuweka picha hizo hapa pamoja na bei Yake, Huyu anakazi ya kurushiana maneno tu,
 
Ninyi hamna hata mabanda hapa mjini, mmebaki matusi tu mitandaoni
Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!
 
Back
Top Bottom