hii tz ipo kweli???Laser treatment, wanatumia laser kuchoma ngozi baada ya siku ka saba ngozi ya juu inatoka yote inakuja ngozi mpya
S.H HARMONY hawana tiba now day,...Sio wakweli sana nao hao washanipa mi dawa ambazo hazikuweza nisaidia kwa lolote
nikipaka nakaa nayo muda ganiii,...iwepo usoni???Dawa bingwa ni chukua limao na unga wa soda changanya kijiko kimoja cha unga wa soda kata limao na kamulia kwenye chombo ndipo uchanganye na upakae usiku na asubuhi
ukipata jibu nijuze na mimi,...Habari zenu wakuu.
Mwenzenu ninatatizo la chunusi toka kuvunja ungo mpaka sas nina miaka 29 sijawahi kuw na raha na uso wangu.msaada jaman anaejua dawa maana umri huu ngozi mbaya kama kenge.mbaya zaidi yanatoka makubwa kama majipu.msaada tafadhadi.
Kwanza umenikosoa kisha unataka kujuwa unga wa viazi mbatata na unga wa lozi unapatikana wapi? nenda katafute wewe mwenyewe nimekupa dawa badala ya kushukuru unani laumu Kiumbe usiye kuwa na shukrani wewe.mbona pic ya kwanza ni mwafrica ukafatisha wazungu inamaana huyo mwafrica haifai au ukitumia hivyo inakufanya mzugu? na Huo unga wa viazi mbatata&lonzi unapatikanaje?
Msamehe!ndo binadamu walivyo hawana shukrani mkuu!Kwanza umenikosoa kisha unataka kujuwa unga wa viazi mbatata na unga wa lozi unapatikana wapi? nenda katafute wewe mwenyewe nimekupa dawa badala ya kushukuru unani laumu Kiumbe usiye kuwa na shukrani wewe.
Kwanza umenikosoa kisha unataka kujuwa unga wa viazi mbatata na unga wa lozi unapatikana wapi? nenda katafute wewe mwenyewe nimekupa dawa badala ya kushukuru unani laumu Kiumbe usiye kuwa na shukrani wewe.