Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

nitarudi wakalimani wakipita hapa...
KARANGA TIBA YA KUONDOWA CHUNISI USONI.
TIBA.1
1. Karanga Zinaondoa Chunusi Usoni na kuufanya Uso kuwa Laini na kuleta uzuri wa Sura.
Chukua kijiko kimoja kidogo changanya na kipimo sawa cha juisi ya ndimu Au limao halafu unapaka kila siku Usoni kabla ya kulala.
TIBA.2
KUONDOA MAKOVU YA CHUNUSI.
1. Paka ‘bleach cream' kwenye sehemu zenye makovu, cream hii husaidia kuondoa makovu.
2. Tumia ‘scrub' ambayo huondoa ngozi ya juu (exfoliate) kwa kupaka kwenye sehemu zenye makovu kama usoni na kwingineko ambako ni rahisi kupaka. Unaweza kufanya zoezi hilo angalau mara mbili kwa wiki.
3. Tumia bidhaa ambazo zina ‘hydroxyl acids`, hutibu ngozi yako na itaonekana nyororo. Unaweza kupata hydroxyl acidstofautitofauti za ngozi (skin care products) kama vile cleansers na lotion.
4. Pia unaweza kuyafanyia masaji makovu ya chunusi ili kuvunja mafuta yaliyoganda ambayo huleta chunusi.
5. Fanya ‘diet', unatakiwa kula vyakula vyenye vitamin na nutrition, vinasaidia kutengeneza ngozi yako kuwa na afya.
Ni mabadiliko tuu ya kimwili kulingana na kuongezeka ama kupungua kwa homoni,usijali jinsi siku zinavyokwenda ngozi itarudia hali yake ya kawaida..
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,nina tatizo la chunusi,na hiyo ni baada ya kupata ujauzito,je hua zinapona au mpaka nijifungue,na kama zinatibika ni vitu gani nitumie ili ziweze kwisha maana zimekua kero asanteni
Nashukuru sana kwa kunitoa hofu bi dadaNi mabadiliko tuu ya kimwili kulingana na kuongezeka ama kupungua kwa homoni,usijali jinsi siku zinavyokwenda ngozi itarudia hali yake ya kawaida..
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,nina tatizo la chunusi,na hiyo ni baada ya kupata ujauzito,je hua zinapona au mpaka nijifungue,na kama zinatibika ni vitu gani nitumie ili ziweze kwisha maana zimekua kero asanteni
hahahaaa!!huku twataka msaada wa kidocta zaidiKumbe kule MMU mkilog off huwa mnapractice kweli? Hongera zake kidume muhusika.
Back to topic usihofu hiyo ni kawaida sana tena unaweza ukanenepa kabisa na kauzuri kako kakapunguwa kidogo lakini it's just transition period. The most important feel proud to become a mother.
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,nina tatizo la chunusi,na hiyo ni baada ya kupata ujauzito,je hua zinapona au mpaka nijifungue,na kama zinatibika ni vitu gani nitumie ili ziweze kwisha maana zimekua kero asanteni
Asante sana best!Hongera bi dada,Mungu akujalie Afya njema na uweze kujifungua salama!
Asante kwa kunitoa wasiwasi coz mi nilijua ndio nitabaki kama chui huko usoni dah!Baada ya kujifungua withn 6wks you regain your normal skin texture
Mimi nimejaribu dawa mbalimbali zimegoma kuisha kuna mtu akanishauri niwe nanawa uso kwa sabuni kadri niwezavyo kila siku.nikaanza na nanawa mara nyingi sana kila nikipata chance naona sasa zimepungua.sipaki chochote baada ya kunawa
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,nina tatizo la chunusi,na hiyo ni baada ya kupata ujauzito,je hua zinapona au mpaka nijifungue,na kama zinatibika ni vitu gani nitumie ili ziweze kwisha maana zimekua kero asanteni
Utazaa mtoto wa kiume. Akiwa wa kike ni pm namba yko nikutumie laki.
Utakua soft tena baada ya kujifungua.
hahahaaa!!asante kwa utabiri KakaJambaziUtazaa mtoto wa kiume. Akiwa wa kike ni pm namba yko nikutumie laki.
Utakua soft tena baada ya kujifungua.