A
Khee....!!! Pesa ni maua!Hao Agha Khan hadi shahada ya uzamili ambayo kwenye vyuo vingine vya serikali na binafsi ni miezi 18 (almost miaka miwili), wenyewe wanatoa ndani ya mwaka mmoja tu.
Kuna jamaa namfahamu alisoma mwaka mmoja na kutunukiwa shahada yake ya uzamili. Wanaonekana wako dunia ya peke yao.
Acha ubwege wa kukalili mambo. Mbona chuo cha uhasibu wanatoa Masters mwaka mmoja? Huko ulaya vyuo vingi masters ni mwaka mmoja.Hao Agha Khan hadi shahada ya uzamili ambayo kwenye vyuo vingine vya serikali na binafsi ni miezi 18 (almost miaka miwili), wenyewe wanatoa ndani ya mwaka mmoja tu.
Kuna jamaa namfahamu alisoma mwaka mmoja na kutunukiwa shahada yake ya uzamili. Wanaonekana wako dunia ya peke yao.
Mjomba punguza stress za kufiwa na mpendwa wako Jiwe! Ubwege uko wapi hapa? Kuna watu mtafikiri mna ujauzito wa miezi miwili! Kuchafukwa dakika 0!Acha ubwege wa kukalili mambo. Mbona chuo cha uhasibu wanatoa Masters mwaka mmoja? Huko ulaya vyuo vingi masters ni mwaka mmoja.
Tatizo la mwafrika ni Wivu,chuki na mawazo ya kuona watu Fulani watafanikiwa kuliko yeye,mbaya zaidi mwafrika mweusi anaamini maisha mazuri yanatokana na kuhaso na kufanya makazi magumu .Acha ubwege wa kukalili mambo. Mbona chuo cha uhasibu wanatoa Masters mwaka mmoja? Huko ulaya vyuo vingi masters ni mwaka mmoja.
Unaona ulivyo pimbi. Habari za Jiwe zinatoka wapi wewe mburukenge.Mjomba punguza stress za kufiwa na mpendwa wako Jiwe! Ubwege uko wapi hapa? Kuna watu mtafikiri mna ujauzito wa miezi miwili! Kuchafukwa dakika 0!
Halafu nimeongea katika hali ya kawaida kabisa. Hakuna mahali nimesema hizo shahada ni feki, au hazifai! Povu la nini mjomba!
Wajinga sana.Tatizo la mwafrika ni Wivu,chuki na mawazo ya kuona watu Fulani watafanikiwa kuliko yeye,mbaya zaidi mwafrika mweusi anaamini maisha mazuri yanatokana na kuhaso na kufanya makazi magumu .
Nabaki najiuliza, kuna shule zinatoa elimu ya form six kwa mwaka Mmoja,na elimu ya kidato cha nne kwa miaka miwili,yeye hilo hajalio a na kulihoji!
Poor black africa
Inaonekana alikuzoesha kudeka sana. Leo umebakia mjane. Hasira zimekujaa, wakumdekea yuko Chato. Pole sana mamdogo.Unaona ulivyo pimbi. Habari za Jiwe zinatoka wapi wewe mburukenge.
Fedhuli baradhuli mkubwa. Kaa kimya huna hoja.Inaonekana alikuzoesha kudeka sana. Leo umebakia mjane. Hasira zimekujaa, wakumdekea yuko Chato. Pole sana mamdogo.
Akili yako na ya mjane wa pembeni wa Jiwe ni kama zinaendana. Kwenye maelezo yangu nimeongelea Agha Khan kutoa pia shahada ya uzamili kwa mwaka mmoja pekee tofauti na vyuo vingine vya serikali na binafsi!Tatizo la mwafrika ni Wivu,chuki na mawazo ya kuona watu Fulani watafanikiwa kuliko yeye,mbaya zaidi mwafrika mweusi anaamini maisha mazuri yanatokana na kuhaso na kufanya makazi magumu .
Nabaki najiuliza, kuna shule zinatoa elimu ya form six kwa mwaka Mmoja,na elimu ya kidato cha nne kwa miaka miwili,yeye hilo hajalio a na kulihoji!
Ukitoka hapo uwalipoti na open university wao wanatoa digrii kwa mwaka Mmoja tu,yaani uwezo wako msomaji kucover contents za Kila unit.
Poor black africa
Enzi zile ulituita sisi ni wapiga dili na tuna vyeti feki! Leo baada utawala kubadilika, kila mtu unataka kumtukana ili kupoza hasira! Unamuona ni fedhuli na baradhuli mkubwa! Bwege! Pimbi, nk! Pole sana.Fedhuli baradhuli mkubwa. Kaa kimya huna hoja.
ULITAKA watoe kwa miaka 10??Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja ya mishahara mbaka leo tupo daraja c tunaonekana hatueleweki ni miaka mingapi tunasoma hiyo shahada na wao hawana ufafanuzi mpaka leo.
Hii shahada ya miaka miwili na nusu kutoka Agha Khan inatofauti gani na zingine za Muhimbili, St John, UDOM n.k
Nchi moja kozi moja ila miaka tofauti na wahusika wapo kimya hii inakata kwenye madai yetu ya kubadilishiwa madaraja ya mishahara ndiyo mana tulitaka hawa viongozi TNMC watolewe zije damu changa.
Majibu kama haya ndiyo yanaifanya JamiiForums kuheshimiwa. Mtu kama hafahamu kitu, anatakiwa kufahamishwa kwa njia hii.Nafikiri Aghakan wanafata system ya India. Kuna dada miaka ya 90 mwishoni aliniomba nifatilie usajili wake baraza la wakunga alisomea unesi na midwife India, nilipoenda wakaniambia hawawezi kumsajili kwani vigezo vyao hizo kozi inatakiwa asome miaka minne.
Naona kama wamejariri muda wa kusoma kozi badala ya kuangalia ni masomo gani alitakiwa asome badala ya muda.
Nilikuwa nakupima akili.Ona ulivyo punguani! Unaniuliza mimi badala ya kumuuliza bwana wako Jiwe aliyemuweka samia kuwa msaidizi wake!
Mwisho wa siku mkienda kutibiwa msilalamike wahudumu wabovu.Tatizo la mwafrika ni Wivu,chuki na mawazo ya kuona watu Fulani watafanikiwa kuliko yeye,mbaya zaidi mwafrika mweusi anaamini maisha mazuri yanatokana na kuhaso na kufanya makazi magumu .
Nabaki najiuliza, kuna shule zinatoa elimu ya form six kwa mwaka Mmoja,na elimu ya kidato cha nne kwa miaka miwili,yeye hilo hajalio a na kulihoji!
Ukitoka hapo uwalipoti na open university wao wanatoa digrii kwa mwaka Mmoja tu,yaani uwezo wako msomaji kucover contents za Kila unit.
Poor black africa
Jipime wewe mwenyewe ambaye una dalili zote za kuchanganyikiwa!Nilikuwa nakupima akili.