Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Pamoja na kuwa aghakhan wanatoa shahada.kwa miaka miwili lakini bado wanatoa wahitimu wanaotoa huduma bora kuliko waliosoma miaka mitano.Inaonekana mfumo wa elimu yetu ni wa hovyo kabisa
Sasa wewe unaleta mada kama anonomasi halafu unakuja na ID yako kubishana, kazi kweli kweli !Acha ubwege wa kukalili mambo. Mbona chuo cha uhasibu wanatoa Masters mwaka mmoja? Huko ulaya vyuo vingi masters ni mwaka mmoja.
Bwana matako haujaacha zile hasira zako za kimakebo makebo😁😁Sasa wewe unaleta mada kama anonomasi halafu unakuja na ID yako kubishana, kazi kweli kweli !
Acha utotoSasa wewe unaleta mada kama anonomasi halafu unakuja na ID yako kubishana, kazi kweli kweli !
wewe hanisi naona umenifananisha na mabwana zakoBwana matako haujaacha zile hasira zako za kimakebo makebo😁😁