DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pamoja na kuwa aghakhan wanatoa shahada.kwa miaka miwili lakini bado wanatoa wahitimu wanaotoa huduma bora kuliko waliosoma miaka mitano.Inaonekana mfumo wa elimu yetu ni wa hovyo kabisa
 
Inaweza kuwa ni muda tu.
Mtu asafiri toka mbagala kizuiani hadi chuo mlimani kwenda Rudi masaa ma4,anywe chai,lunch break att last kasoma masaa ma3 tu.
Kama Agha Khan wanapelekwa vipindi mpelampela masaa 8 seriously kwanini isiwe fupi tu.
Ni mwaka miezi 8 unamaliza hiyo shahada,huku ukiwa vyuo vyaukombozi wa maendeleo una 5 years unasoma tu mpaka madaftari yanahamia kisogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…