Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

Hili darasa linaanza lini au lilishaanza tayari? mbona hakuna updates
 
Je nitatunukiwq degree nikianza au ni diploma au certificate? Je hamna makanisa nikimaliza mniajiri kabisa niwapige neno la kimungu ?
 
Sawa nimeshaingia, nasubiri updates japo umetuzuia kuandika kabisa mkuu

Gusa link hii, ndio liko open

KARIBU USOME KOZI ZA BIBLIA HAPO HAPO ULIPO KWENYE SIMU YAKO BILA KUATHIRI RATIBA ZAKO KWA ADA RAFIKI, MIEZI SITA TU.

By Raphael Mtui 0762731869

1)KUITAMBUA BIBLIA (INTRODUCTION TO THE BIBLE)

Hii ndiyo kozi ya kwanza, ambapo tutaona vipengele vifuatavyo:

a) Biblia ni nini hasa. (Definition and origin of the word Bible)
b)Biblia ilipatikanaje. (How we got the Bible)
c)Jinsi vitabu 66 vya Biblia vilivyopatikana (Canonization of the Bible)
d)Ni nini kinaipa Biblia mamlaka (Authority of the Bible)
e)Biblia ilivyogusa jamii na historia (Impacts of Bible on the Society and the entire History)
f) Ni ushahidi gani wa kisayansi na kihistoria unaipa Biblia kuaminika kama Neno la Mungu. (Reliability of the Bible)
g)Biblia ilivyopangwa. (How is Bible organized)
h)Jinsi ya kuisoma Biblia kwa mafanikio (How to study the Bible effectively.)

2)APOLOJIA NA MAADILI YA UKRISTO. (APOLOGETICS AND CHRISTIAN ETHICS)

a)Maana ya apolojia ki-Biblia.
b)Majibu ya Biblia kwa wanaodai hakuna Mungu (Atheism)
e)Majibu ya Biblia kwa wanasayansi wanaochambua mwanzo wa ulimwengu.(Cosmological arguments)
f) Majibu ya Biblia kwa wanasayansi kuhusu ulimwengu ulivyopangika (Teleological argument)
g)Majibu ya Biblia kwa nadharia za Mungu ni wa kufikirika tu (Ontological Arguments)
h)Jinsi ya kujibu kwa upendo na hekima
i)Maadili ya Ki-Kristo yanavyotumika sambamba na apolojia kuonesha ushahidi mkuu wa uwepo wa Mungu.

3)KUPITIA AGANO LOTE LA KALE KWA NJIA RAHISI (OLD TESTAMENT SURVEY)

Katika kozi hii utapitishwa kwenye Agano la Kale kwa weledi utakaokufanya uijue Biblia kirafiki sana. Kila kitabu tutaangalia yafuatayo:

a) Kitabu kiliandikwa mwaka gani?
b)Nani aliandika?
c)Nani au kina nani waliandikiwa?
d)Somo kuu la kitabu hicho ni nini?
e)Kitabu hicho kimetoa picha gani ya kutabiri ujio wa Yesu? (Kila kitabu cha Agano la Kale kina kitu kinaitwa "Aina za Yesu" utashangaa kabisa)

4)KUPITIA AGANO JIPYA LOTE (NEW TESTAMENT SURVEY)

Kila kitabu tutaangalia:

a) Nani aliandika?
b)Lini kitabu kiliandikwa?
c) Aliwaandikia kina nani?
d) Mada kuu kwa kila kitabu ni ipi?
e)Somo kubwa kwetu leo la kila kitabu.

5)MAFUNZO YA HUDUMA NA UONGOZI.
Kwenye kozi tutaangazia yafuatayo:

a) Maana ya wito halisi na karama za Mungu.
b)Njia za kugundua wito wako na kuuendeleza.
c)Kuelewa maana ya uongozi kwa jicho la Kristo.
d)Tabia muhimu na lazima za kiongozi wa kiroho.
e)Namna ya kukabiliana na changamoto za uongozi.
f)Namna ya kuhubiri kwa matokeo mazuri.
g)Namna ya kufundisha kwa matokeo mazuri.

6) HOMILETICS: UFUNDI WA MAHUBIRI.

Kwenye kozi hii tutaangazia yafuatayo:

a)Kujua umuhimu wa tabia na sifa za mhubiri kabla ya mahubiri yako.
b)Kujua kanuni za kuzingatia uwapo madhabahuni
c) Kujua sifa za ujumbe bora wa kuleta mabadiliko.
d)kujua namna ya kupangilia ujumbe
e) Kujua makosa manne ya kuepuka kabisa kwenye ujumbe wako

7) MAISHA NA HUDUMA YA YESU.

a)Kueleza historia na utimilifu wa unabii wa maisha ya Yesu Kristo.
b) Kujua maana ya Yesu kuzaliwa horini na ujio wa mamajusi.
c)Kujua sababu na maana ya ubatizo wa Yesu.
d)Kuelewa aina za miujiza ya Yesu na maana zake.
e)Kujua mafundisho makuu matano ya Yesu.
f)Kuchambua Hotuba ya Mlimani na baraka nane (Beatitudes)
g)Maana ya kifo, ufufuo, na kupaa kwa Yesu Kristo.

8) UCHAMBUZI WA KITABU CHA DANIEL NA UFUNUO.

a)Kuujua ukweli wote kuhusu majuma 69 ya Daniel.
b)Kujua juma la sabini na jinsi linavyoingia kwenye kitabu cha Ufunuo.
c)Kujua 'Gap Theory' inayoficha kipindi cha Kanisa (Church Age).
d)Kujua ratiba yote ya matukio ya mwisho wa dunia baada ya juma la sabini.
e)Kufafanua ndoto ya sanamu (Daniel 2)

9) KANUNI 10 ZA KUKUWEZESHA KUTAFSIRI MAANDIKO KWA USAHIHI (HERMENEUTICS)

Katika kozi hii utajifunza:

a) Kanuni ya kutii, (kutoweka gari (wazo lako) mbele ya punda (Neno la Mungu) ukitegemea asukume, weka nyuma avute)

b) Kanuni ya uvuvio, matumizi makuu matatu ya KILA andiko.

c)Kanuni ya muktadha (context)

d) Kanuni ya Yaliyomo. (Content)

e)Kanuni ya urahisishaji. (Simplification)

f) Kanuni ya upatano (Maandiko yanayoonekana kupinga mengine)

h) Kanuni ya Maagano (Kutofautisha Agano la Kale na Jipya)

i)Kanuni ya Ufalme: Jinsi ya kutasfiri ahadi za Mungu kwenye Biblia.

j) Jinsi ya Kutafsiri mifano ya Yesu.

k) Jinsi ya kutafsiri unabii katika Biblia.

10) WOKOVU (SOTERIOLOGY)

a) Maana ya wokovu
b) Maana ya kuhesabiwa haki.
c)Maana ya utakaso
d)Maana ya kutukuzwa
e)Nguzo za wokovu (Neema, Imani, Toba)
f)Kanuni za maisha matakatifu
g)Changamoto za maisha matakatifu ulimwengu wa sasa.

11) ROHO MTAKATIFU.

a) Maana na asili ya Roho Mtakatifu
b)Roho Mtakatifu ndani ya mwamini.
e)Karama za Roho Mtakatifu.
f)Tunda la Roho Mtakatifu.
h)Roho Mtakatifu katika huduma.
g)Roho Mt. Agano la Kale.
h)Roho Mt. Agano Jipya.
i)Ninajuaje nina Roho Mt.?
k) Roho Mt anaweza kumwacha mwumini aliyeacha wokovu na kurudi nyuma?

12) KUCHAMBUA NYARAKA ZA MTUME PAULO.

Kozi muhimu sana hii ya kukufanya kukijua hasa kiini cha Ukristo. Tutaangaliza yafuatayo:

1)Nani aliandika kitabu?
2)Lini aliandika?
3)Nani aliandikiwa?
4)Walioandikiwa walikuwa watu wa aina gani, tabia na tamaduni zao.
5)Hali na tamaduni za mji walikokuwa wakiishi hao waandikiwa.
6)Kusudi kuu la kila waraka.
7)Mstari/Andiko kuu la kila waraka.
8)Neno Kuu lililosisitizwa zaidi katika waraka husika.
9)Uchambuzi kwa mfupi sura kwa sura wa kila waraka.

13) KUCHAMBUA KITABU CHA WARAKA WA MTUME PAULO KWA WARUMI.

Kwa wale ambao hawajui, kitabu cha Warumi ni moja ya Kazi bora na za kipekee sana katika Biblia zinazofafanua kwa weledi wa hali ya juu kuhusu Theolojia ya Ukristo. (A Masterpiece for Christian Theology)

Licha ya kwamba ni waraka wa Paulo, lakini kutokana na upekee wake, huwa haujumuishwi wakati wa kusoma kozi ya NYARAKA ZA PAULO.

Kinasomwa kivyake kama waraka mzito ulio kwenye kundi la Nyaraka za Uhifadhi.

Nyaraka zingine za Paulo aliziandika akitatua tatizo fulani kwa waandikiwa, lakini waraka huu alikuwa 'huru' kuufafanua Ukristo kwa namna maridhawa mno.

Hiki ni kitabu kinachotupa picha bora sana ya wokovu wetu, na ndio kinachojibu maswali yote muhimu na magumu kuhusu wokovu wetu.

Ndio sababu hii tumeona tukishughulikie haswa.

Tutashughulikia maswali yafuatayo:

1) Paulo anamaanisha nini kuhusu kuhesabiwa haki bure? (Justification)

2)Paulo anamaanisha nini kuhusu Ukombozi (Redemption)?

3)Paulo anamaanisha nini kuhusu Utakaso (Sanctification)?

4)Paulo anamaanisha nini kuhusu Upatanisho? (Propitiation)

5)Kama tunahesabiwa haki bure kwa imani, nini nafasi ya matendo ya sheria kwa Mkristo?

6)Kazi ya Matendo ya sheria hasa ni nini? Uhusiano wake na Mkristo ni upi?

7)Tutasoma 'Doctrine of Imputation' yaani dhambi ya Adamu ilikuwaje ikatujumuisha na sisi, na suluhisho lake ni nini.

8)Kwa nini Paulo alimtumia Ibrahimu kama 'Prototype' yaani mfano bora wa kuhesabiwa kwa imani? Upekee wake hasa ni nini?

9)Tutatatua tatizo la "maskini mimi" la Warumi

7. Je Paulo alishindwa kuishi maisha matakatifu aliposema hawezi kutenda atakalo asilolipenda ndilo anajikuta anafanya?

10)Tutatatua tatizo la Theolojia ya Siasa (Political Theology) aliposema tutii mamlaka. Tunatiije serikali dhalimu?

11) Tutaangalia pia jinsi Paulo anavyotatua tatizo la Israeli. Wamemkataa Yesu, ni nini basi hatima yao, hasa kama kumkataa kwao kulisababisha sisi Mataifa tupate neema?

14) NYARAKA ZA WENGINE.

Nyaraka za wengine ni zile nyaraka za jumla zilizoandikwa na watumishi wengine tofauti na Mtume Paulo.

Katika kozi hii tutachambua kila waraka kwa kutumia mtindo ule ule unaotumika katika kozi ya NYARAKA ZA MTUME PAULO.

15) HISTORIA YA KANISA.

Katika zile kozi top ten kwa ulazima Mkristo kusoma, ni pamoja na Historia ya Kanisa.

Hii ni kozi muhimu sana sana, kwa Mkristo wa ngazi yoyote ile.

Ni lazima kujua Kanisa lilikopita tangu ile siku ya Pentekoste hadi leo.

Hii ni historia ndefu na ya kusisimua mno!

Kuna vitabu vingi sana vyenye kuandika HISTORIA YA KANISA. Tusome kipi na tuache kipi?

Kila mtu amejaribu kuelezea kwa njia yake anavyoweza. Historia zingine zimeandikwa zikificha ukweli na kuegemea mitazamo ya kidhehebu.

Tufanyeje?

Ingawa Historia ya Kweli ya Kanisa lazima iwe ni maudhi kwa baadhi ya madhehebu, lakini haina budi kusema ukweli.

Ukweli huo usemwe vipi?

Tumekuandalia Historia ya Kanisa ambayo kwanza inapita kwenye vipindi vyote tangu ile siku ya Pentekoste, ikigusa yale mambo muhimu tu, ili angalao upate picha pana kwa maneno machache, yenye lugha ya hisia na mvuto katika uhadithiaji wake.

Historia ya Kanisa ina mambo yenye kuumiza sana, na hata kutafakarisha mno, lakini mwisho ni historia ya kujenga sana hali yako ya kiroho.

Historia ya Kanisa imejaa matukio mabaya ya umwagaji damu, mateso makali, ni shindano la Shetani dhidi ya watu wa Mungu.

Kadri ambavyo Wakristo waliuawa kwa njia za ukatili uliokubuhu, ndivyo Ukristo ulivyoshamiri! Katika dunia ya leo, Ukristo ndiyo imani inayokuwa kwa kasi kuliko imani yoyote ile.

Hii ni Historia ya Mateso ya kuogofya, lakini ni Historia ya Ushindi Mkuu.

GUSA LINK HII HAPA:
 
Kimsingi hilo sio darasa lenyewe. Hilo lonakuwaga darasa la bure, halilipiwi. Hilo sio la chuo lenyewe. Ni chambuzi za bure huwa zinafanyika hapo.
 
Asante, mada zimeshiba hizi
 
Back
Top Bottom