DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

KwetuKwanza

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
82
Reaction score
150
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.

Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya nyuma ya jengo.

Wanajisaidia hovyo pia katika makorido kitu ambacho ni hatari kwa afya zao na hawa wengine wanaopatikana maeneo hayo ikiwemo Walimu wetu.

Kwa asilimia kubwa wafanyausafi pia hawana vitendea kazi wakati wa kufanya usafi kama vile viatu vigumu, hawana gloves n.k kwa ujumla hawana vifaa vya kufanyia usafi.

Maji pia ni kero maji yanasumbua chuoni, vyoo vinakuwa vichafu na hivyo kutishia usalama wa Watumiaji wote.
 
Piga picha JF hatuna Jambo dogo
 
Wewe uliyeleta hili suala hapa pia unamatatizo. Kama msomi, hii ni njia sahihi ya kutatua changamoto? Inaonekana ni Mwanafunzi ambaye huwezi kutatua changamoto zilizo kuzunguka. Huwezi kuja kuwa na mchango wowte kwenye taifa letu.
Ww Una matatizo kwanini
1.Umeingilia mada isiyokuhusu
2.Huyu ni mwanafunzi anapita Tu,aliyoyaongea ameangalia sustainable chuo life nikimaanisha maisha ya Leo,Kesho na keshokutwa kwa wanafunzi WA Hapo chuoni
3.Njia za kutatua tatizo ni nyiingi moja ni kuomba Msaada kama huyu kijana
 
Picha please
Na hao si ndio wanaongoza kujitawadha wanakuaje tena wachafu
Kweli hata mimi nimeshtuka sana,kwanza waislamu wanapokojoa huhitaji maji kujisafisha,nashangaa kusikia wanajisaidia kwenye makorido, je twahara yao iko wapi?

Je wanaswali kwell? Maana utaswali vipi katika mazingira hayo?

Pili uislamu ni nadhifu,inakuwaje maji hakuna?

Wala sipati majibu
 
Ww Una matatizo kwanini
1.Umeingilia mada isiyokuhusu
2.Huyu ni mwanafunzi anapita Tu,aliyoyaongea ameangalia sustainable chuo life nikimaanisha maisha ya Leo,Kesho na keshokutwa kwa wanafunzi WA Hapo chuoni
3.Njia za kutatua tatizo ni nyiingi moja ni kuomba Msaada kama huyu kijana
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
 
Mada ikiwekwa public, inahusu wote. Na hii ni forum ni ya jamii.
 
Wanajisaidia hovyo pia katika makorido kitu ambacho ni hatari kwa afya zao na hawa wengine wanaopatikana maeneo hayo ikiwemo Walimu wetu.
Yani wasomi, watu wazima wanajisaidia hovyo na unahitaji chuo kishughulikr wasipate magonjwa!! Sad
 
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
Ngoja nikupe mfano Mzumbe wanafunzi walizuiliwa kuendeleaa na masomo December nadhani mwaka Jana kisa Tu Ada ila mwamko WA wadau WA nje ya chuo ulipelekea MDA usogezwe mpaka February nadhani ..Je kabla ya Muda kusogezwa unadhani ujumbe haukuwafikia wahusika nikimaanisha viongozi ....
 
Back
Top Bottom