DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuhusu suala la uongozi na usimamizi wa taasisi waislamu hawawezi mana wamejaa tamaa,wengi wamekariri juzuu na hawapendi kubadilika..lazima wafeli tu.

Hawana muda mrefu watayarudisha hayo majengo waliyopewa msaada kwa serikali mana wameshindwa kuendesha chuo.

Chuo kama madrasa eti wanafunzi wa kike na kiume wakae mbali mbali wala wasifanye disscussion pamoja..wanafunzi wanakula bakora kama watoto wadogo.

Kiufupi hakuna chuo hata waislma wanao jielewa hawawezi kupeleka mtoto akasome pale.
Mimi nilimpeleka Mtoto wa Sister alikula bakora ikabidi tumpeleke Ushirika Moshi.

Alipotuambia masuala ya bakora tulibaki kucheka.
 
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.

Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya nyuma ya jengo.

Wanajisaidia hovyo pia katika makorido kitu ambacho ni hatari kwa afya zao na hawa wengine wanaopatikana maeneo hayo ikiwemo Walimu wetu.

Kwa asilimia kubwa wafanyausafi pia hawana vitendea kazi wakati wa kufanya usafi kama vile viatu vigumu, hawana gloves n.k kwa ujumla hawana vifaa vya kufanyia usafi.

Maji pia ni kero maji yanasumbua chuoni, vyoo vinakuwa vichafu na hivyo kutishia usalama wa Watumiaji wote.
Hawa si rahisi kukuelewa na wakabadilika hasa ikizingatiwa kuwa usafi kwao ni ukristo na ukafiri😀😀😀😀😀
 
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
Mda mwingine Bora uje public tuuu inadhalilisha lakini linatatuliwa haraka iwezekanavyo
 
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
Hivi mpaka kaleta hapa unazani uongozi wa hapo chuo wao hawaoni Wala kujua?
 
Waache waendelee kukaririshana ujinga wa zama za ujima katika kizazi cha sasa.
Yaani wanavyojua kulalamika, wenzao wanalalamikia kupunguziwa ushuru wa vitu wanavyoleta ila wao huona wanapendelewa! Sasa Kama hauna kitu mkononi utaongezewa nini!
 
Kile sio Chuo ni CHOO 💩💩💩 wanafunz walimu na mazingira vyote ni hopeless... Pale wanaenda watu useless wasio na future
 
Mmepewa chuo kikuu bure. Hadi leo hsmjawahi fungua hata tawi jingine. Mnafeli wapi ndugu zangu.
Unafungua tawi kama wahitaji ni wengi, Unaweza kuta hata hicho chuo wanafunzi hawazidi 10, sasa tawi la nini?
 
Unafungua tawi kama wahitaji ni wengi, Unaweza kuta hata hicho chuo wanafunzi hawazidi 10, sasa tawi la nini?
Kama wameshindwa wayarudishe majengo Kwa wenyewe maana hawana uchungu nayo.
 
Back
Top Bottom