LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Hawa na wale mazombie ya mitume na manabii nawaweka kundi moja.Mmepewa chuo kikuu bure. Hadi leo hsmjawahi fungua hata tawi jingine. Mnafeli wapi ndugu zangu.
Vichwa maji basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa na wale mazombie ya mitume na manabii nawaweka kundi moja.Mmepewa chuo kikuu bure. Hadi leo hsmjawahi fungua hata tawi jingine. Mnafeli wapi ndugu zangu.
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.
Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya nyuma ya jengo.
Wanajisaidia hovyo pia katika makorido kitu ambacho ni hatari kwa afya zao na hawa wengine wanaopatikana maeneo hayo ikiwemo Walimu wetu.
Kwa asilimia kubwa wafanyausafi pia hawana vitendea kazi wakati wa kufanya usafi kama vile viatu vigumu, hawana gloves n.k kwa ujumla hawana vifaa vya kufanyia usafi.
Maji pia ni kero maji yanasumbua chuoni, vyoo vinakuwa vichafu na hivyo kutishia usalama wa Watumiaji wote.
Kweli hata mimi nimeshtuka sana,kwanza waislamu wanapokojoa huhitaji maji kujisafisha,nashangaa kusikia wanajisaidia kwenye makorido, je twahara yao iko wapi?
Je wanaswali kwell? Maana utaswali vipi katika mazingira hayo?
Pili uislamu ni nadhifu,inakuwaje maji hakuna?
Wala sipati majibu
MUM wiyo chuo cha akiislam ni chuo cha Waislam. "Morogoro Muslim University" siyo (Morogoro Islamic University).
Kumbuka hilo.
.kama ni pachafu, uongozi haufati maadili ya Kiislam.
Chuo kikuu halafu bado wanatandikwa viboko?
Chuo au madras hiyo?
Mimi nilimpeleka Mtoto wa Sister alikula bakora ikabidi tumpeleke Ushirika Moshi.
Alipotuambia masuala ya bakora tulibaki kucheka.
Yakusikia changanya ba yako.Kumbe upogo ustadha FaizaFoxy. Bora umetaja hili. Nasikia chuo kichafu mpaka wanaweza kupata kipindupindu
USAID impactChuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya nyuma ya jengo.
Wanajisaidia hovyo pia katika makorido kitu ambacho ni hatari kwa afya zao na hawa wengine wanaopatikana maeneo hayo ikiwemo Walimu wetu.
Yule CAG mstaafu hakuwa administrator hapo? Hakufanya kitu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuhusu suala la uongozi na usimamizi wa taasisi waislamu hawawezi mana wamejaa tamaa,wengi wamekariri juzuu na hawapendi kubadilika..lazima wafeli tu.
Hawana muda mrefu watayarudisha hayo majengo waliyopewa msaada kwa serikali mana wameshindwa kuendesha chuo.
Chuo kama madrasa eti wanafunzi wa kike na kiume wakae mbali mbali wala wasifanye disscussion pamoja..wanafunzi wanakula bakora kama watoto wadogo.
Kiufupi hakuna chuo hata waislma wanao jielewa hawawezi kupeleka mtoto akasome pale.