DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
MUM wiyo chuo cha akiislam ni chuo cha Waislam. "Morogoro Muslim University" siyo (Morogoro Islamic University).

Kumbuka hilo.
.kama ni pachafu, uongozi haufati maadili ya Kiislam.
 
Utaambiwa umekashfu
 
Different Scenario.
 
Kweli wanajisaidia kwenye makoridoo ? Kama haukuongeza chumvi basi ni kitu hatari.
 
Ushauri wa bure kama mtu unataka kusoma Mass communication usije ukajaribu kwenda pale utapoteza ⏰️ muda na 💰 pesa bureeee hamna kitu bora uende Tumaini university au SAUT wapo vizuri kwa mass communication, pale wanaifundisha kwa mazoea vifaa vichache,system zao mbovu amna chuo pale wapo kibiashara yani utumbo mtupu🤮
 
MUM wiyo chuo cha akiislam ni chuo cha Waislam. "Morogoro Muslim University" siyo (Morogoro Islamic University).

Kumbuka hilo.
.kama ni pachafu, uongozi haufati maadili ya Kiislam.
Uongozi upo busy kupokea ada tu marekebisho -0%
 
Kuhusu suala la uongozi na usimamizi wa taasisi waislamu hawawezi mana wamejaa tamaa,wengi wamekariri juzuu na hawapendi kubadilika..lazima wafeli tu.

Hawana muda mrefu watayarudisha hayo majengo waliyopewa msaada kwa serikali mana wameshindwa kuendesha chuo.

Chuo kama madrasa eti wanafunzi wa kike na kiume wakae mbali mbali wala wasifanye disscussion pamoja..wanafunzi wanakula bakora kama watoto wadogo.

Kiufupi hakuna chuo hata waislma wanao jielewa hawawezi kupeleka mtoto akasome pale.
 
Chuo kikuu halafu bado wanatandikwa viboko?

Chuo au madras hiyo?
 
Cha msingi majambia ya kufañyia mazoezi yapo yakutosha.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…