DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi nilimpeleka Mtoto wa Sister alikula bakora ikabidi tumpeleke Ushirika Moshi.

Alipotuambia masuala ya bakora tulibaki kucheka.
 
Hawa si rahisi kukuelewa na wakabadilika hasa ikizingatiwa kuwa usafi kwao ni ukristo na ukafiriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Chuo chenyewe majengo walipewa na hatujaona kingine walichoongeza ila kelele uwii, sasa kutunza kinawashinda halafu kimoja tu! Mmmmm
 
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
Mda mwingine Bora uje public tuuu inadhalilisha lakini linatatuliwa haraka iwezekanavyo
 
Ndugu...
Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
Hivi mpaka kaleta hapa unazani uongozi wa hapo chuo wao hawaoni Wala kujua?
 
Waache waendelee kukaririshana ujinga wa zama za ujima katika kizazi cha sasa.
Yaani wanavyojua kulalamika, wenzao wanalalamikia kupunguziwa ushuru wa vitu wanavyoleta ila wao huona wanapendelewa! Sasa Kama hauna kitu mkononi utaongezewa nini!
 
Kile sio Chuo ni CHOO πŸ’©πŸ’©πŸ’© wanafunz walimu na mazingira vyote ni hopeless... Pale wanaenda watu useless wasio na future
 
Mmepewa chuo kikuu bure. Hadi leo hsmjawahi fungua hata tawi jingine. Mnafeli wapi ndugu zangu.
Unafungua tawi kama wahitaji ni wengi, Unaweza kuta hata hicho chuo wanafunzi hawazidi 10, sasa tawi la nini?
 
Kile sio Chuo ni CHOO πŸ’©πŸ’©πŸ’© wanafunz walimu na mazingira vyote ni hopeless... Pale wanaenda watu useless wasio na future
Duu jamani! Mbona Kuna kelele nyingi Sana?
 
Unafungua tawi kama wahitaji ni wengi, Unaweza kuta hata hicho chuo wanafunzi hawazidi 10, sasa tawi la nini?
Kama wameshindwa wayarudishe majengo Kwa wenyewe maana hawana uchungu nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…