DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mmepewa chuo kikuu bure. Hadi leo hsmjawahi fungua hata tawi jingine. Mnafeli wapi ndugu zangu.
Hawa na wale mazombie ya mitume na manabii nawaweka kundi moja.
Vichwa maji basi tu
 


Kwa kiasi kikubwa uchafu mabwenini unasabaishwa na wanafunzi wachafu/wajuaji waliozoea kufanyiwa kila kitu pengine na dada wa kazi huko majumbani mwao; waliokaa mabwenini watanielewa

Fikiria; Mtu anakuja kutuambia eti wanafunzi wa degree wanakojoa koridoni; kama ni kweli, hii ni aibu!!!
Labda tusaidiane hapa; ni kama hakuna vyoo huko mabwenini au nini tatizo

Kumwaga maji nyuma ya jengo ni dalili ya kuwa na WANAFUNZI WACHAFU au wanaotaka usimamizi kama watoto wa chekechea.....au unashauri nini kiwepo ili wasimwage maji nyuma ya jengo?

Kuhusu vyombo wa kukusanya uchafu ndani ya bweni, sikumbuki kuona hivyo hata enzizetu mabwenini; ILA kule nje ya mbweni kulikuwa na pipa la taka. Na kwakuwa kulikuwa na uongozi wa bweni makini (usio na mchezo) bweni lilikuwa safi na bila kelele za hovyo hovyo.....
 

Hata chimbuko lake kule kwa mudi, hakuna maji. Ni mwendo wa kutembea na samad
 
MUM wiyo chuo cha akiislam ni chuo cha Waislam. "Morogoro Muslim University" siyo (Morogoro Islamic University).

Kumbuka hilo.
.kama ni pachafu, uongozi haufati maadili ya Kiislam.

Kumbe upogo ustadha FaizaFoxy. Bora umetaja hili. Nasikia chuo kichafu mpaka wanaweza kupata kipindupindu
 
Mimi nilimpeleka Mtoto wa Sister alikula bakora ikabidi tumpeleke Ushirika Moshi.

Alipotuambia masuala ya bakora tulibaki kucheka.

Hata mimi nimecheka. Pengine wanatumia sharia law kuendesha chuo
 
Yule CAG mstaafu hakuwa administrator hapo? Hakufanya kitu?
 
Kumbe upogo ustadha FaizaFoxy. Bora umetaja hili. Nasikia chuo kichafu mpaka wanaweza kupata kipindupindu
Yakusikia changanya ba yako.

Akutukanae hakuchagulii tusi.

.hii sisi tunaifahamu ni "Islamophobia", wala haitustui, tunakwenda nayo kama ilivyo.
 
USAID impact
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…