Mchekelea Maovu
New Member
- Aug 17, 2026
- 1
- 0
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha.
Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa ajili ya kuendelea na michakato mbalimbali, ikiwemo kuomba kujiunga na chuo kwa ngazi ya juu na kuomba mkopo wa elimu ya juu.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba muda wa mwisho wa kuomba mkopo wa elimu ya juu ni tarehe 31 Agosti 2026. Kuchelewa kuwasilisha matokeo kunaweza kutufanya tushindwe kupata AVN Number kwa wakati na hivyo kukosa fursa ya kuomba mkopo.
Tamko la awali ~ NACTVET: Tunakabiliwa na changamoto ya kimtandao, Tunashughulikia kuhakikisha huduma zetu zote za kimtandao zinarejea
Tunaomba uongozi wa chuo uchukue hatua za haraka kuwasilisha matokeo yetu NACTVET ili wanafunzi tupate AVN Number kwa wakati na kuendelea na michakato inayohitajika bila vikwazo.
Soma pia

- Chuo Kikuu cha Iringa, tuliohitimu Diploma 2026 tunapata changamoto ya kupata AVN
- NACTVET, namba za AVN zinasoma invalid, au kuna subscription fee au expire date?
- Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kinachelewa kupitisha matokeo ya Level 6 kwenye mfumo wa NACTVET