Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

povour3

Senior Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
177
Reaction score
638
Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu.

Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.

Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.





Pia soma ~ Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi
 

Attachments

  • IMG_20241015_090441_761.jpg
    962.9 KB · Views: 10
  • IMG_20241015_090424_703.jpg
    768.9 KB · Views: 8
  • IMG_20241015_090347_049.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG_20241015_090200_771.jpg
    355.1 KB · Views: 10
  • IMG_20241015_090042_276.jpg
    876.2 KB · Views: 9
  • IMG_20241015_085901_588.jpg
    982.5 KB · Views: 14
  • IMG_20241015_084544_449.jpg
    1.1 MB · Views: 16
Hamna shule ya msingi ya private inao fanana hivo labda iwe ya st kayumba.
 
First year karibu sana ulijenge jiji la Mungi
 
Umewahi kufika SUA kule mazimbu?
 
Niseme Nini mkuu,yeye ndiyo kaona hayo mapungufu 🤣🙌
Mapungufu ni mengi mkuu mfano Leo Kuna jamaa yangu kahitimu SAUT 2019-2022,kaenda leo kuchukua cheti hakuna cheti Wala jina lake halipo kwenye kitabu Cha wahitimu wa mwaka husika na Cha ajabu kwenye account yake matokeo y'ako vizuri tu.😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…