Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Attachments

  • IMG_20241015_094438_595.jpg
    IMG_20241015_094438_595.jpg
    1 MB · Views: 9
Lengo la huu Uzi sio kupeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini,bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya chuo kikuu.

Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.

Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Kwakuwa ndiyo umeripoti acha tukupatie mwezi Mmoja utakuja na Uzi wa kusifia SAUT Malimbe campus.
Msalimie sana Papaa Mulongo,mutu ya congo.😂😂
 
Back
Top Bottom