Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Aisee... Hapo ndo main campus Yao au ni branch?
Yaani hata baadhi ya shule nyingi za serikali zinazidi kwa ubora wa mazingira.
Lakini hawa wakatoriki wanamashirika tofauti tofauti nafkiri hao wa Mwanza na wale wa St. Joseph wa pale Mbezi DSM wale wahindi ni wababaishaji. Lakini ukitazama majengo kama ya hapa Catholic University of Mbeya yanaonekana yapo vizuri.
 
Hapo ndo main campus mkuu,hiki chuo kina ubabaishaji sana,kwa yule asiye pafahamu atasema nataka kuchafua taasisi hii.
 
Ngalalekumtwa alishawahi kuwaambia wanafunzi wa SAUT kwamba kanisa linaweza kukifunga chuo na kukigeuza mabanda ya kufugia kuku na kuwafukuza wanafunzi wote endapo wataendelea kuleta mgomo kuhusu jambo lolote ndani ya chuo.​
Wanadhani ni kama wao ambao wamelelewa kiuoga uko seminari,kwa kigezo Cha nidhamu,kumbe ni ujanja ujanja tu wa kuogopa kuhojiwa.

Wanafunzi wanalipa pesa hivyo lazima mazingira yawe rafiki.
 
Wanadhani ni kama wao ambao wamelelewa kiuoga uko seminari,kwa kigezo Cha nidhamu,kumbe ni ujanja ujanja tu wa kuogopa kuhojiwa.

Wanafunzi wanalipa pesa hivyo lazima mazingira yawe rafiki.
And they call that place a city of God. These Catholic priests are a basket case of psychological dysfunction.​
 
Lengo la huu Uzi sio kupeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini,bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya chuo kikuu.

Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.

Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Askofu nyaisanga anayajua haya?
 
Back
Top Bottom