Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Hujui kitu unarukia tu Mambo usiyoyajua. Kwa taarifa yako mmiliki Mrema alifariki mwaka jana hivyo familia wakaanza kugombana bila maelewano ikitiliwa maanani alikuwa na watoto wa mama tofauti tofauti ikafikia wakashindwa hata kuwalipa mishahara wafanyakazi pia mikopo ya benki wakashindwa kulipa. Hivyo tatizo hapo ni management baada ya mzazi wao kufariki and not otherwise.

Wakati mwingine uliza kwanza siyo kurukia mambo yanayokuzidi kimo dada!
 
Tuna akili sana !
 
Umeandika bila kuacha nafasi wala paragraph.

Niishie hapo!
 
Uchumi unapaa mpaka wanachuo wanakaa five star hotel na practical watakwenda kufanyia mwezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…