Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Kwani Mzee Mengi yuko hai? Yeye mbona biashara zake hazijafa na kuna ugomvi wa kifamilia huko? Acha upumbavu jamaa.Hujui kitu unarukia tu Mambo usiyoyajua. Kwa taarifa yako mmiliki Mrema alifariki mwaka jana hivyo familia wakaanza kugombana bila maelewano ikitiliwa maanani alikuwa na watoto wa mama tofauti tofauti ikafikia wakashindwa hata kuwalipa mishahara wafanyakazi pia mikopo ya benki wakashindwa kulipa. Hivyo tatizo hapo ni management baada ya mzazi wao kufariki and not otherwise.
Wakati mwingine uliza kwanza siyo kurukia mambo yanayokuzidi kimo dada!