Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Kwahiyo, corona ikiisha watatimua wanafunzi au ndo imeisha hiyoo?
 
Kama watalii /Mabebelu hawaji unafikili Nani atalala kwenye hiyo Hotel?
 
Niliwah fika kwenye hyo hotel mwaka juzi...aisee ni kubwa sanaaaaaaa...na mmiliki wake amezikiwa hapohapo kwenye hiyo hotel(kwa taarifa nilizoambiwa)..maana kuna kaburi lipo hapo
 
Niliwah fika kwenye hyo hotel mwaka juzi...aisee ni kubwa sanaaaaaaa...na mmiliki wake amezikiwa hapohapo kwenye hiyo hotel(kwa taarifa nilizoambiwa)..maana kuna kaburi lipo hapo
Ndio alizikwa eneo la hoteli. Somebody Mrema
 
Aiseee! Napakumbuka hapo! enzi za retreat

Mweh! sipati picha pataonekanaje baada ya miaka miwili ya kuwa hostel!! ule uzuri wa mapambo ya usafi wooote utaisha!!! khaaaa!!! hayaaa
 
2015 nilikunywa wine pale pembeni ya swimming pool,Hakika palikuwa panavutia Sana na Yale mazingira ya kijani. ..HAKIKA HUU SIO MWAKA WA RAHA
 
ngurdoto_mountainlogde_arusha-20201202-0002.jpg
ngurdoto_mountainlogde_arusha-20201202-0003.jpg
ngurdoto_mountainlogde_arusha-20201202-0004.jpg

Dah inasikitisha sana
 
Sasa hapo si itakuwa bata mwanzo mwisho? Kuna kusoma kweli?
 
Back
Top Bottom