MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kweli sasa naamini Hela hakuna na inatafutwa kwa nguvu zote. Kwahiyo kumbe ile Mikwara yote ya Kisheria lengo Mama lilikuwa ni hili? Pongezi!Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608
aliyekudanganya bila shaka kishakufaNadhani gharama zinaweza kushuka endapo washiriki watakuwa wengi!
mi nimetaka kuuliza ni hizi za kupiga picha na video? Maana kama ni hizo, mawasiliano na control tower ya nini? hio communication device inapatikana wapi? uwezo wa ndege na upangaji wa izigo gani kwenye hicho kidrone?Ni drone zipi hasa wanazoziongelea? Zile za kupigia picha au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona kitakachofuatia ni baby stroller (pichani)...utatakiwa uhudhurie mafunzo kuhusu sheria za mtaani (njia) na jinsi ya kupishana na watumiaji wengine wa njia (barabara). Kozi itakuwa ya wiki mbili na gharama ni shilingi laki tano (500,000/=). Baada ya mafunzo utatunukiwa cheti cha kukuwezesha kumtembeza mtoto mtaani kwa usalama.
Umewauliza ATCL kama hawana nafasi? Mbona ndege zao zimeegeshwa uwanjani! Kasome kijana hiyo ni fursa.Hata ukisoma ajira hakuna
Hizo hizo zile za kubeba mabomu hawana uwezo wa hiyo elimu lazima uende kwa mabeberu.Ni drone zipi hasa wanazoziongelea? Zile za kupigia picha au?
Eeh baba ndo hizo hizo. Kwani hujaiona iliyo hapo pichani?Ni drone zipi hasa wanazoziongelea? Zile za kupigia picha au?
bwana wewee ni kama vi toy tu una install app ya dji kwenye simu unakiwasha unaki control nilidhani ni yale ma drone makubwa ya kijeshi ,watatuua hawa na vyanzo vyao vya mapato huwa nafanya hizi kazi za creativity ila watu washakata tamaa na hii serikali kufungua tu channel ya you tube sasa hivi uwe na milioni 3...yaani jamani nyieeeDrones ni tekinolojia mpya sasa hao wanataka kutufundisha watueleze vyuo walikosomea, tunataka vya nje ya nchi na vyeti vyao vya urubani, wananchi tusigeuzwe miti ya matunda.
Hizo drone tunazirusha ddaily bila courseHaha Haha
Nchi hii kila kitu lazima usomeee yani hata waliogundua hawahasoma kama sisi..
Kila kitu
Leseni, cheti, ada, nk...
shida hapo ni kibali hutapata kibali hadi uwe na hayo mafunzo kama ilivyo kwa mafunsi simu..na walisemaga kila mkoa ku operate kibali ni dollar 100 kwa mfano kama una kampuni ya shooting na macamerman 5 inabidi ikutoke milioni 10 ya mafunzo,hakuna namna tena sasa kupata views za juu inabidi kurudi kutumia cranes au kupanda juu ya vibaraza na magorofa kama zamaniBando langu la buku youtube nakula training ya nguvu jinsi ya kurusha drone
Kama ile ya marekani iliyotunguliwa kule IranNi drone zipi hasa wanazoziongelea? Zile za kupigia picha au?