MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kweli sasa naamini Hela hakuna na inatafutwa kwa nguvu zote. Kwahiyo kumbe ile Mikwara yote ya Kisheria lengo Mama lilikuwa ni hili? Pongezi!Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608