Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.

View attachment 1653607
View attachment 1653608
Kweli sasa naamini Hela hakuna na inatafutwa kwa nguvu zote. Kwahiyo kumbe ile Mikwara yote ya Kisheria lengo Mama lilikuwa ni hili? Pongezi!
 
Ni drone zipi hasa wanazoziongelea? Zile za kupigia picha au?
mi nimetaka kuuliza ni hizi za kupiga picha na video? Maana kama ni hizo, mawasiliano na control tower ya nini? hio communication device inapatikana wapi? uwezo wa ndege na upangaji wa izigo gani kwenye hicho kidrone?

Mbinu ya kuwapiga watu pesa!
 
Kuna tetesi kwamba kitakachofuatia ni baby stroller (pichani)...utatakiwa uhudhurie mafunzo kuhusu sheria za mtaani (njia) na jinsi ya kupishana na watumiaji wengine wa njia (barabara).

Kozi itakuwa ya wiki mbili na gharama ni shilingi laki tano (500,000/=). Baada ya mafunzo utatunukiwa cheti cha kukuwezesha kumtembeza mtoto mtaani kwa usalama zaidi!

baby stroller.jpg

Hela ngumu jamani...inatafutwa hadi uvunguni!​
 
Naona kitakachofuatia ni baby stroller (pichani)...utatakiwa uhudhurie mafunzo kuhusu sheria za mtaani (njia) na jinsi ya kupishana na watumiaji wengine wa njia (barabara). Kozi itakuwa ya wiki mbili na gharama ni shilingi laki tano (500,000/=). Baada ya mafunzo utatunukiwa cheti cha kukuwezesha kumtembeza mtoto mtaani kwa usalama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Drones ni tekinolojia mpya sasa hao wanataka kutufundisha watueleze vyuo walikosomea, tunataka vya nje ya nchi na vyeti vyao vya urubani, wananchi tusigeuzwe miti ya matunda.
 
drone (vi drone) hata mii na operate kabisa na nishashutia hadi kwaya una control kwa simu kirahisi tu miimi nilijua zile ni mafunzo ya zile drones kama za kivita za wamarekani nikajua kuna ajira labda za kwenda kuendesha drones kupambana na magaidi ya mtwara / msumbiji?
kazi ipo jamani nyiee kwa hiyo ukishatoa hiyo milioni 2 kwa week 4 ukipata kibali ukumbuke kila mkoa unapoenda unatakiwa ulipe dollar 100 ya kibali,polisi watafaidi sana safari hii,BADO MNAAWAMBIA WATU WAJIAJIRI?KUWA NA CHANNEL YA YOU TUBE INABIDI ULIPE MILIONI 3,BADO MNASEMA MNAPENDA WATU WAWE CREATIVE?
HEHEEEEE HIIIIIII BHAGOSHAAAAAA
 
Drones ni tekinolojia mpya sasa hao wanataka kutufundisha watueleze vyuo walikosomea, tunataka vya nje ya nchi na vyeti vyao vya urubani, wananchi tusigeuzwe miti ya matunda.
bwana wewee ni kama vi toy tu una install app ya dji kwenye simu unakiwasha unaki control nilidhani ni yale ma drone makubwa ya kijeshi ,watatuua hawa na vyanzo vyao vya mapato huwa nafanya hizi kazi za creativity ila watu washakata tamaa na hii serikali kufungua tu channel ya you tube sasa hivi uwe na milioni 3...yaani jamani nyieee
 
Bando langu la buku youtube nakula training ya nguvu jinsi ya kurusha drone
shida hapo ni kibali hutapata kibali hadi uwe na hayo mafunzo kama ilivyo kwa mafunsi simu..na walisemaga kila mkoa ku operate kibali ni dollar 100 kwa mfano kama una kampuni ya shooting na macamerman 5 inabidi ikutoke milioni 10 ya mafunzo,hakuna namna tena sasa kupata views za juu inabidi kurudi kutumia cranes au kupanda juu ya vibaraza na magorofa kama zamani
 
Back
Top Bottom