njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
nilijua ni hizo hata wangesema milioni 10 tungetoa tuAta serikali hawana aya madude mkuu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua ni hizo hata wangesema milioni 10 tungetoa tuAta serikali hawana aya madude mkuu😂
Nilimshangaa waziri husika eti akusanye vijana watundu wa IT, hatuwezi kuwa na Netflix like app ya Taifa, serikali iweke mazingira (sera) na hata funds kwa vijana wa IT kuchochea ubunifu kwenye Tech, tufurahie matunda yake baadaebaada ya mda utasikia waziri anasema kwa nini tusikusanye ma it wakatengeneza netflix yetu,inashindikanaje?huku akishangaa..yaani vichekesho kweli kuwa na you tube channel inabidi ulipe milioni 3 tcra...hiyo netflix anayosema yeye bashungwa ipo hapa bongo inaitwa SWAHILIFLIX mmiliki mganda kila siku anasumbuliwa na uhamiaji na vymbo vya dola hadi kakata tamaa kapunguza hata kununua movies za wasanii na bei kashusha yuko very discouraged sasa sijuiw atu wajiajiri vipi jameni,duh
ndugu kuna kipindi nilitaka nitengeneze apps fulani (siwezi sema ideas hapa) nikaanza kufikiria complicatiions za nchi hii mara kesi mara sijui umehujumu uchumi yaani dah inakatisha tamaa sana nabaki tu kuuza ebooks huku jamii forums hapa.... kuna pitching nimetuma nje(USA) kama tano za story(synopsis)nasikilizia labda itakuwa ajira mpya maana hapa kwa sasa mbavu zinabanwa kila kona inakuwa kama adhabu sasaNilimshangaa waziri husika eti akusanye vijana watundu wa IT, hatuwezi kuwa na Netflix like app ya Taifa, serikali iweke mazingira (sera) na hata funds kwa vijana wa IT kuchochea ubunifu kwenye Tech, tufurahie matunda yake baadae
Serikari iko vzur, wataalam wa kutengeneza tatizo na kulitafutia ufumbuz.Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608
hahaha sawa mkuu na kupmKama hutojali nishirikishe hiyo idea ya apps ili tufanye maana mm niko nje ya nchi hawawezi kunipata.
Bado kidogo mambo yawe Bam Bam
Kuna tetesi kwamba kitakachofuatia ni baby stroller (pichani)...utatakiwa uhudhurie mafunzo kuhusu sheria za mtaani (njia) na jinsi ya kupishana na watumiaji wengine wa njia (barabara).
Kozi itakuwa ya wiki mbili na gharama ni shilingi laki tano (500,000/=). Baada ya mafunzo utatunukiwa cheti cha kukuwezesha kumtembeza mtoto mtaani kwa usalama zaidi!
Drone siyo camera.
Milioni mbili kasoro elfu ishirini pesa ya kozi, drone sijanunua, ada ya leseni Bado, hiyo drone kila mkoa nikienda unakata kibali chake sasa hao wateja wangu nitawatoza pesa ngapi na kwa mwaka natarajia kufanya kazi ngapi za harusi?Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608
Alafu hizo ukazipate wapi uendeshe?.nilijua ni hizo hata wangesema milioni 10 tungetoa tu
Kurusha drone tu Tsh 1,980,000/=??!! , Wizi mtupu.o
Sio yoyote yuleWewe ni Drone au Camera?