Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

Nilimshangaa waziri husika eti akusanye vijana watundu wa IT, hatuwezi kuwa na Netflix like app ya Taifa, serikali iweke mazingira (sera) na hata funds kwa vijana wa IT kuchochea ubunifu kwenye Tech, tufurahie matunda yake baadae
 
Nilimshangaa waziri husika eti akusanye vijana watundu wa IT, hatuwezi kuwa na Netflix like app ya Taifa, serikali iweke mazingira (sera) na hata funds kwa vijana wa IT kuchochea ubunifu kwenye Tech, tufurahie matunda yake baadae
ndugu kuna kipindi nilitaka nitengeneze apps fulani (siwezi sema ideas hapa) nikaanza kufikiria complicatiions za nchi hii mara kesi mara sijui umehujumu uchumi yaani dah inakatisha tamaa sana nabaki tu kuuza ebooks huku jamii forums hapa.... kuna pitching nimetuma nje(USA) kama tano za story(synopsis)nasikilizia labda itakuwa ajira mpya maana hapa kwa sasa mbavu zinabanwa kila kona inakuwa kama adhabu sasa
Huyo Bishangwa ajue tu kuna SWAHILIFLIX akaulize nini kinawakumba wale wandugu jamaa alianza kuwa kimbiliol a watu kuuza vipindi na moviez zao hata kama bei ndogo lakini inasaidia kuzungusha hela ila kero anayopata jamaa(kutoka kwa wahusika) sidhani kama ana hamu tena
 
Serikari iko vzur, wataalam wa kutengeneza tatizo na kulitafutia ufumbuz.
 

Cheers [emoji1635][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TANZANIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hata hizi toys za watoto wetu , tuwalete WATOTO huko kusoma

 
Milioni mbili kasoro elfu ishirini pesa ya kozi, drone sijanunua, ada ya leseni Bado, hiyo drone kila mkoa nikienda unakata kibali chake sasa hao wateja wangu nitawatoza pesa ngapi na kwa mwaka natarajia kufanya kazi ngapi za harusi?
Bora nikalime matikiti mto Ruvu
 
Iyo kozi inamfaa sana yule mtengeneza video wa diamond director kenny,sie wa uswahilini tusubirie mpaka watakaposhusha ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…