Codes ni nyepesi mnooo yaan mnooo.
Kuhusu suala la ushoga hakuna kiongozi atakae thubutuu kutangaza wazi wazi kuwa ni illegal hapa nchini, hata aje mafia kiasi gani hawezi kamweee.
Nafikiri waanze kurekebisha vifungu vya sheria ktk katiba, na pia kwenye suala la haki za binadamu wakatafakari kwa kina kipi waishi nacho, pia misaada na mikopo je masharti yake ni sahihi kwa mustakabali wa nchi.
Kuna kiongozi mstaafu aliwahi sema "ukitaka kula sharti uliwe"
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Khalhaghabhao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]