Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

Lisemwalo...
Hapana kwa vile eneo ya chuo linaonyesha wasomi wengi itakuwa sio watanzania na wale jamaa hatwaki kuchangamana na watu nina hakika...kingekuwa mashuhuri sana hiko chuo maan nimeuliza mashekhe kibao wanasema hawakijui kinawezekana kipo bongo ila wale jamaa waarabu wanaishi ndani na ushuani hawatoki nje
 
Hapa kwenye kiongozi mstaafu ni Mh Jakaya ndio aliyesema "Ukitaka kula sharti uliwe"
 
Duh Dah nyingi sana!😱
Watu wanajiondoa ufahamu.

Lakini Aisee Duh!

Ngoja nisubiri taarifa kamili, kuna uwezekano mkubwa hakuna njama hapa.
 
Madereva Wawili Kuendesha Gari ( Lori ) kwa pamoja huku Wakipokezana Kutia Gia ili liende na lifike salama Mombasa au Tanga au hata Lamu.
Astakafulah

Dunia imejaa mambo machafu sana. Ngoja niweke alarm Jumamosi niwahi jumuiya. .
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mtanzania Muhimu anajua kila linaloendelea ila hana la kusema kwakuwa nae ana Maslahi Makubwa na Tajiri mwenye Taasisi husika akitokea Falme za Kiarabu ( UAE )
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mtanzania Muhimu anajua kila linaloendelea ila hana la kusema kwakuwa nae ana Maslahi Makubwa na Tajiri mwenye Taasisi husika akitokea Falme za Kiarabu ( UAE )
Unashindwa kuelewa wanaosoma hapo wakina Nan? Unaruka ruka ni wale wakishua hizo jamii za kiarabu au wabongo maana ndo wanasoma ndani hawataki kuchangamana .

Usiongee kitu hukijui ni umbea ...sijwahi kusikia hiko chuo darasa tunazunguka vyuo kibao na misikitu hapa Town kwa miaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…