Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Sawa, kwahyo unanishauri nisomee kipi?
 
Ila mkuu ingependeza ueleze sababu za kuacha digrii yako urudi diploma....unaweza pata ushauri mzuri zaidi.
Digrii sio kwamba naiacha maana nimeshagraduate na cheti kipo, ila kwakuwa fursa nmeona ni chache nimeamua kutafuta field nyingine kabisa ya afya...Hata nkigraduate afya na nkapata kazi nzuri ya engineering..Nafanya maana tayar experience ninayo.
 
sijui una umri gani ila nimesoma afyaa... hiyo laki 5 unayoikataa kuna DR analipwa mahalii tena kwa connection hao CO ndo kabisaa nashangaa pamoja na degraa yako uelewa upo chini sana
 
sijui una umri gani ila nimesoma afyaa... hiyo laki 5 unayoikataa kuna DR analipwa mahalii tena kwa connection hao CO ndo kabisaa nashangaa pamoja na degraa yako uelewa upo chini sana
Nina 24. Dah! kwahyo unasema ngoma kote ngumu??
Ngoja nikupe my thought process.....
Mimi nlikuwa kwenye njiapanda, kati ya kuchukua degree nyingine (sio afya maana advance nlisoma pcm) au kwenda masters. Au kuacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri (maana hii laki 5 ya kuajiriwa naisotea, yani sipati muda extra wa biashara).
Au kwenda China kusoma MBBS au vyuo vya scandinavia/UK/Marekani (Tatizo ada)
Au kusoma afya kuanzia diploma.
Ndo nkachagua hiyo last option maana yenyewe ndiyo atleast ina uhakika na future.
 
KARIBU SANA.

NAOMBA UNI PM
 
dogo siku nampeleka chuo mloganzira mixer mafagio,ndoo majembe nilicheka mnooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ukizingatia alikuwa anajifanya sharobaro
Hahahahah chuo wanaenda na mafagio dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KWANGU NINAZITUMIA ZOTE NIMEKUWA BARAKA SEHEMU YANGU YA KAZI ,NILISOMA ELECTRONICS ENGINEERING KWA MAANA HIYO VIFAA VYOTE VIKIZINGUA NIMO ,NA UDAKATRI WANGU
 
duuh noma sana
 
KARIBU SANA.

NAOMBA UNI PM
Mkuu Embryology huyu hana passion ni hali ngumu tu kwenye fani yake soma vizuri mstari wa mwisho wa commeny number 74! huyu kama ameshindwa kutengeneza lemonade kutokana na lemon aliyotapa basi hato weka kutengeneza squish kutokana na chungwa analolitafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…