Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

mi machungwa na lemon sina...ila tunda passion ya afya ipo kubwa kuliko engineering
 
Kama unataka hela huku unapoteza muda wako.
 
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Nimeangalia na Muhimbili hapa hamna clinical medicine..Kuna pharmacy na nursing tu
 

Attachments

  • 2022-07-22 (4).png
    72.7 KB · Views: 33
Kwani mhandisi umekosa kabisa kazi au? Kwa sababu una background ya eng nakushauri ukasome Biomedical Engineering Diploma chuo cha DIT au Arusha Tech utapata kazi
 
Wewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…