TRamadhani
Member
- May 30, 2013
- 48
- 18
hiyo ni recod ya mwaka gani
Japo na changamoto zake zooote ila UDSM is the best bhana,ukiacha mambo ya kitaaluma,jamani hivi vyuo vingine vinashindwa hata kuandaa makongamano na public talks wananchi wa kawaida wakawa aware?,pale Nkrumah mwaka jana tumeshuhudia mijadala kibao juu ya masuala muhimu kama ya katiba,kuna issue ya gas nayo iko hotBadala ya kutoa mapovu mengi, jiulizeni Ni Kwa nini kikawa katika nafasi hiyo. Vyuo vingi idadi ya Professors Ni wachache, UDSM at least. Publications ngapi zinafanywa na wahadhiri wa vyuo vyetu? Compare UDSM na Vyuo vingine; participation in consultancy, compare UDSM na vyuo vingine.
No wonder, wanaopiga mayowe wengi Ni kutoka Mzumbe (just hypothesis). Hawa wamejipambanua sana nje ya ulingo wa taaluma kama wapinzani wa UDSM!!! Ni Fikra hasi kupambana kihisia na usioweza kupambana nao Kwa vigezo vya kimataifa katika taaluma.
Katika ranking sijawahi kuona MZUMBE ikiwakaribia Hata Herbet Kairuki. Haya majungu na fitina Kwa UDSM yanaathiri sana Hata ajira za watu sasa maana HRs wengi na wakuu wa IDARA za uajiri wamepitia Mzumbe so wanawanyonga sana wahitimu wa UDSM.
Angalieni hizi Ranking apart from 4icu
Africa | Ranking Web of Universities
Nenda uendako UDSM has a cream,ni bora kuliko vyuo vingine vyovyote tz.Labda kidogo IFM na DIT the rest kwa kweli majanga.Mimi kila mwaka nilikuwa napokea wanafunzi wa field attachment ofisini,na lilikuwa jukumu langu kuwasimamia hvyo naongea kwasababu nina ushahidi.Wanafunzi wa UDSM wanajituma na nilikuwa sina wasiwasi nao nikiwaachia kazi.Hata hivyo vyuo vingine walimu wametoka UDSM
Ila bado chuo kina changamoto nyingi sana katika kuboresha taaluma.Hiyo ranking bado nina shaka nayo na Mkandara asibweteke ilihali uhalisia anaujua.
hayo ni mawazo yako tu
product za udsm kwa sisi tunao ajiri tunazijua. ni ----- mtupu. kwa ngono labda maana ukimuitaview msichna kutoka udsm utakuta hujaanza kuuliza swali anataka akakupe uroda kwanza halafu ni wataalam sana kwenye kinyume na maumbile
An pia naye anajipambanua kama GT wa JF!!! JF imeparamiwaHaya ni mawazo ya mlemavu wa akili na utagundua chuo Alichosoma kwani ana zero level of thinking
Pale pananukaaaaaaahehehe,,kuna darasa tulihama kisa chemba inanuka,mbona hata nyuma ya ikulu pananuka
Labda kwa sbabu wachaga na wahaya ndiyo wanaongozaa kwa IQ kubwa (tuna viyoaminishwa lakini).Siku hizi hata top 20 tu hakiingii,chuo kiliharibiwa baada ya kuingiza ukabila mwingi, ajira za chuo zikawa zinatolewa kikabila matokeo yake vilaza ndio wakajaa hapo chuoni.Mukandala ndiye aliyekuja kukiharibu hicho chuo mpaka leo ni ovyo ovyo tu.Uhaya na Uchaga ndio unachokiua hicho chuo
Hongereni UDDuuuuuuh kumbe ilikuwa hivi lol
Ahsante.Hongereni UD