Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
- Thread starter
- #21
UdhalilishajiWamefanyaje
UdhalilishajiWamefanyaje
Kujulikana hajulikani tena? Itakuwa sio udsm huyo. Haiwezekani kama mwanafunzi wa udsm halafu kama yupo Maribor anajulikana tuView attachment 3310482
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA SHAMBULIZI LILILOHUSISHA WANAFUNZI
Dar es Salaam, 20 Aprili 2025
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinasikitika na kulaani vikali tukio la kushambuliwa, kudhalilishwa, na kudhuriwa kwa msichana mmoja (jina lake bado halijatambulika) linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo, linalodaiwa kuwa wahusika ni wanafunzi.
Tayari, Chuo kinafatilia taarifa za tukio hilo kwa kiini ili kubaini uhalisia wake; na utambulisho wa wahusika. Endapo itabainika kuwa wahusika ni wanafunzi wa UDSM, hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya UDSM. Aidha, Chuo kitashirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha kuwa Sheria za nchi zinazingatiwa.
UDSM inapinga aina yoyote ya ukatili, udhalilishaji au uvunjaji wa haki za kibinadamu ndani na nje ya mazingira ya Chuo. Pia, UDSM itasimama imara kulinda utu, usalama, na hadhi ya kila mwanafunzi na wanajumuiya wengine wa Chuo bila upendeleo. Kwa mantiki hiyo, Chuo kinatoa rai kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla kuzingatia Sheria, kanuni, taratibu, na miongozo ya chuo; na maadili ya Kitanzania.
Prof. William A. L. Anangisye
MAKAMU MKUU WA CHUO
🤣Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinasikitika na kulaani vikali tukio la kushambuliwa, kudhalilishwa, na kudhuriwa kwa msichana mmoja (jina lake bado halijatambuliwa) linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo, linalodaiwa kuwa wahusika ni wanafunzi.
Tayari, Chuo kinafuatilia taarifa za tukio hilo kwa kiini ili kubaini uhalisia wake; na utambulisho wa wahusika. Endapo itabainika kuwa wahusika ni wanafunzi wa UDSM, hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya UDSM. Aidha, Chuo kitashirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha kuwa Sheria za nchi zinazingiatiwa.
UDSM inapinga aina yoyote ya ukatili, udhalilishaji au uvunjaji wa haki za kibinadamu ndani na nje ya mazingira ya Chuo. Pia, UDSM itasimama imara kulinda utu, usalama, na hadhi ya kila mwanafunzi na wanajumuiya wengine wa Chuo bila upendeleo. Kwa mantiki hiyo, Chuo kinatoa rai kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla kuzingatia Sheria, kanuni, taratibu, na miongozo ya chuo; na maadili ya Kitanzania.
View attachment 3310495
Tukio ndani ya Ramadhan karimKujulikana hajulikani tena? Itakuwa sio udsm huyo. Haiwezekani kama mwanafunzi wa udsm halafu kama yupo Maribor anajulikana tu
Siku hizi Ni chuo cha vi bitch na mabishoo wenye ndoto za kufika DarUDSM imefikia kuwa na wanafunzi vilaza kiasi hicho?!
Gentleman,Yani mwijaku alivyo kimuonekano tu eti wanapigana Kwa ajili Yake.
Au "teeth" wanacheza na akili zetu kupotezea ishu ya lissu na kauli za maaskofu?
Ila hii nchi!
Nyau de adriz
Gentleman,Gentleman,
unashangaa kupigana tu wakati wengine hujitoa uhai kwaajili ya mshedede?🐒
Inategemea. Sasa mwijaku "national disgrace" ndo wakipigana Kwa ajili Yake? Kichwa chake Tu utadhani ngumi ya ajuza.Gentleman,
unashangaa kupigana tu wakati wengine hujitoa uhai kwaajili ya mshedede?🐒
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kmmmkeWe ni mwanamke?
majike manne kabisaa kila moja akidai mie ni wake, kipindi hicho naitwa boss mtoto form2c,Gentleman,
Ushawahi kugombaniwa na majike mawili?