evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Yani mwijaku alivyo kimuonekano tu eti wanapigana Kwa ajili Yake.
Au "teeth" wanacheza na akili zetu kupotezea ishu ya lissu na kauli za maaskofu?
Ila hii nchi!
Nyau de adriz
Ndio maana kichwa kimejaa funza, nenda ufanyiwe upasuaji wa fuvumajike manne kabisaa kila moja akidai mie ni wake, kipindi hicho naitwa boss mtoto form2c,
Ila ndo hivyo bana,
saivi moja yupo kigoma, mwingine nyegezi wengine sijui hata walipo
nilikula suspension ya miezi mi2 safi secondary 🐒
relax gentleman,Ndio maana kichwa kimejaa funza, nenda ufanyiwe upasuaji wa fuvu
Machangu wengi bongo hujitambulisha kama madenti wa vyuo ili kuinua hadhi yao na kwa sababu hiyo wateja wao wakate fungu kubwa.Kujulikana hajulikani tena? Itakuwa sio udsm huyo. Haiwezekani kama mwanafunzi wa udsm halafu kama yupo Maribor anajulikana tu
Wanafunzi wengi wa kike wa vyuo ni maly tu,machanguuu tuMachangu wengi bongo hujitambulisha kama madenti wa vyuo ili kuinua hadhi yao na kwa sababu hiyo wateja wao wakate fungu kubwa.
Tunaita wayahudiWatu wanazingatia maokoto.
Na vile chuo boom likikata, ni mwendo wa kuishi kiizraeli mkate asubuhi mchana na usiku
Haoni kitambulisho mlangoni?Machangu wengi bongo hujitambulisha kama madenti wa vyuo ili kuinua hadhi yao na kwa sababu hiyo wateja wao wakate fungu kubwa.
Uelewa wako ni Mdogooo sanaa yani hata mtoto wa la kwanza kakuacha mbali sanaa.Hiyo ishu nilivyoielewa mimi ni kwamba hao wanafunzi wenzake wamempiga sio kwamba wanamgombania mwijaku .
Bali wamempiga kwa kumuona anawadhalilisha kwa kutembea na mtu wa hovyo mwijaku
Jamaa mtaratibu sanaProf. William A. L. Anangisye
MAKAMU MKUU WA CHUO
Ndiyo maana chuo kinadahili machangu?Jamaa mtaratibu sana
Hizo ni tabia binafsi mkuuNdiyo maana chuo kinadahili machangu?
Kama kiongozi ni mpole au asiyejali kufuatilia wayafanyayo watendaji/wafanyakazi wake unategemea kila kitu kuwa sawa?Hizo ni tabia binafsi mkuu
Wamekiharibu sana hicho chuo.Siku hizi Ni chuo cha vi bitch na mabishoo wenye ndoto za kufika Dar
KatombaKwani Mwijaku kafanyaje ?
Na fidia kwa victim wao.Faini ya Mil 5 kwa familia masikini unaona ndogo ?