Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam walaani kitendo cha udhalilishaji na shambulizi lililohusisha wanafunzi

Poleni sana udsm

Bahati mbaya hao mabinti ni adults
 
Mfano mzuri siku tukianza kujadili kuwa askari, wanajeshi,usalama n.k kwa wingi wao plus wetu hata kama wanazo silaha unadhani wanaweza kutuua wote na kutumaliza halafu wao wakabaki salama????
Hawawezi hata robo
 
Chuo kipo kimya kwa mambo yote yanayoendelea Nchini ila wamejitokeza kwenye mambo ya vyupi hovyo kabisaa...hata tulipoambiwa kutoa umeme Ethiopia ni gharama nafuu kuliko bwawa la Nyerere wapo kimya kama wapo China.
 
Nilikuwa natazama hiyo taarifa, ila katika uandishi wake nimebaini kuwepo kwa makosa mawili ambayo yapo wazi kabisa. Nashukuru kuona mpangilio mzuri wa taarifa ya profesa toka udsm.
 
Jamaa mtaratibu sana
Ila yule manzi wamemuonea sana hata km kakosea ile sio kabisa na huyo kimwambwala mwijaku achunguzwe vizuri anatumia Mkongo wa wapi
 
Chuo kipo kimya kwa mambo yote yanayoendelea Nchini ila wamejitokeza kwenye mambo ya vyupi hovyo kabisaa...hata tulipoambiwa kutoa umeme Ethiopia ni gharama nafuu kuliko bwawa la Nyerere wapo kimya kama wapo China.
Kweli aisee
 
Chuo graduate wake pekee anaefahamika sana ni Mwijaku unategemea nini?
 
Na safari yae kielimu imeishia hapo, kisa nn? Mabwana
 
Yote hiyo kupunguza makali ya spana za pasaka. Hiki kisiwa ni ny*ko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…