Nimeona wale vitobo wote wanagombea kupigwa mti na fala mmoja anaelelewa na mkewe anaefanya kazi bank fulani maarufu Nchini na yule fala anaona dili kuvitafuna vident vya Chuo cha UDSM, vident vimeaga kwao vinakuja DSM kusoma kumbe vimekuja kugombea kupigwa miti na mafala wa DSMKwa mange
Bila kuweka be nao wangekuwa wapuuzi. Kiinglish kilaaniweAngekuwa prof maboko au mgaya au mkandala ungesikia sternly measures will taken against..
UDSM imefikia kuwa na wanafunzi vilaza kiasi hicho?!
😂😂Sema kwa vile ni wanawake tu ila klmy ningeanzisha fujo hapo, mmoja wetu angeishia kwenye body bag.
Eti she is kind lunaticMtu unasomaa mpaka UDSM then Unamwita Mwijaku Boyfriend 🤣🤣🤣 Yule Si Fatherfriend🤣
😂😂😂😂UDSM imefikia kuwa na wanafunzi vilaza kiasi hicho?!
Wameshafutwa kwenye systerm taarifa itayofuata ni kuwa hao sio wanafunzi wa vyuo tajwaHao mademu hawamalizi chuo