Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.

Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.

Wenye sifa nafasi hii.

Hivi lilikuwa ni suala la muda tu au ndio MAMA ANAUPIGA MWINGI?

PDF hii
 
Attachments

Hivi lilikuwa ni suala la muda tu au ndio MAMA ANAUPIGA MWINGI

PDF hii
Chuo cha kibaguzi sana hiki lazima ufahamiane na mtu
 
Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.

Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.

Wenye sifa nafasi hii.

Hivi lilikuwa ni suala la muda tu au ndio MAMA ANAUPIGA MWINGI?

PDF hii
Kama GPA yako ni below 3.8, usijisumbue hata tangazo kusoma.
 
GPA ndio mdudu gani? Unakuta vichwani hawana chochote kuhusiana na utendaji.Haya mambo ya GPA kwa wenzetu less considered, wanachoangalia ni innovations, creativity, hardworking.

Karibuni tupige chaki wandugu. Tuwaachie wale wenye GPA gentlemen watutengenezee sera, wazisimamie, watutawale na watuelekeze.

Unakuta mtu level ya profesa/phd holder wa acquatic, asali, botany, njegere, bustani n.k n.k, lakini hakuna tija.
 
Back
Top Bottom